bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
Namba nimeituma PM cheki.Hii namba ya taarifa inaonekana ni ya Mlandizi tafadhali tusaidie namba ya mteja wetu au namba sahihi ya taarifa kwa hatua za haraka
Hayo maswali mpigie umuulize.Hiyo nyumba anaishi mtu kweli
Vizuri asanteni. Mbarikiwe.Tunampigia na wataalamu wetu wapo eneo husika sasa
Taarifa kamii nimekutumia jana bado sijapata mrejesho nini kinafuataWeka taarifa kamili tafadhali tuone kwenye mfumo wetu
Tunakuomba radhi sana tafadhali tusaidie namba yako na wilaya kwa hatua za harakaNime jaribu kuripoti mwizi wa umeme tangia 2018 mpaka leo jamaa anapeta... Nimekua nikitoa taarifa sana sana mnaishia kuniambia tupe namba yako nikitoa namba hamtoi ushirikiano... Na wala kunipigia hamnipigii (tweetr) hata huku nikitoa yatakua yale yale... Ngoja ninyamaze sasa na mwizi wenu aendelee kula bata... Na inavyo semekana anaiba saivi unaenda mwaka kama wa 6 hivi anapeta....
Habari za Asubuhi.Tunampigia na wataalamu wetu wapo eneo husika sasa
Ndio shirika letu ndugu [emoji23] vumiliaHabari za Asubuhi.
Naanza kukosa imani na haya majibu yako unayotujibu humu ya kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Hao wataalamu uliosema jana wapo Eneo la Tukio wamekuwa GHOST hawaonekani kwa macho au ama.
Yule mama nimeongea na Jana usiku anadai hakuna aliyempigia wala aliyefika pale, na alikaa barazani kwenye mkeka siku nzima akiwasubiria.
Mnamtesa mama wa watu buree.
Bora atoke akajitafutie Riziki zake za ukulima.
Sijaelewa uliposema ( WATAALAMU WAKO ENEO LA TUKIO SASA HIVI )
ni kwamba wewe umedanganywa na hao mafundi wa Bagamoyo au wewe umetudanganya sisi ? Wich is wich ?
Any way siku mkijisikia kuja mtakuja.
Mama wa watu simwambii tena akae akusubirieni , mtajijua wenyewe na kazi zenu mnafanyaje.
Mi nakaa kimya . Kazi njema nazodhani labda unazifanya hapo.
Ahsante kwa taarifaHabari za Asubuhi.

Picha hapo chini wataalamu wetu wakiwa kwa mtejaAhsante kwa taarifa
Wataalamu wetu walifika eneo la tukio hawakukuta mtu namba ta simu pia haipokelewi
(Upo ushahidi wa video na picha na simu ambayo haikupokelewa) hivyo tunamsihi mteja apokea simu au utupatia namba yako tuwe tunawasiliana na wewe.
Tupo kuwahudumia tupo kuwasikiliza
Kwa taarifa za majirani inaonekana mteja hayupo eneo hilo mwezi sasa hivyo tunaba utusaidie taarifa kamili au wewe utusaidie namba yako ya simuPicha hapo chini wataalamu wetu wakiwa kwa mtejaView attachment 1689765
Okay. Je kuna masharti maalum nayopaswa kuzingatia au vielelezo ninavyopaswa kuwa navyo.?Unashauriwa kufika ofisi ya eneo lako