TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hii namba ya taarifa inaonekana ni ya Mlandizi tafadhali tusaidie namba ya mteja wetu au namba sahihi ya taarifa kwa hatua za haraka
Namba nimeituma PM cheki.

Nimeshindwa kuiweka wazi Hapa kwa kuepuka MATAPELI.
 
Hayo maswali mpigie umuulize.
Nishakuambia ni mama mtu mzima.

Na naomba nikuulize kama haishi mtu haistahili kuwa na umeme ?

Lakini mpigie mwenyewe umuulize hayo maswali.
Tunampigia na wataalamu wetu wapo eneo husika sasa
 
Taarifa kamii nimekutumia jana bado sijapata mrejesho nini kinafuata
Tafadhali weka taarifa kamili tunazoelekeza kama

Jina

Simu

Eneo

Wilaya

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini
 
Nime jaribu kuripoti mwizi wa umeme tangia 2018 mpaka leo jamaa anapeta... Nimekua nikitoa taarifa sana sana mnaishia kuniambia tupe namba yako nikitoa namba hamtoi ushirikiano... Na wala kunipigia hamnipigii (tweetr) hata huku nikitoa yatakua yale yale... Ngoja ninyamaze sasa na mwizi wenu aendelee kula bata... Na inavyo semekana anaiba saivi unaenda mwaka kama wa 6 hivi anapeta....
 
Tunakuomba radhi sana tafadhali tusaidie namba yako na wilaya kwa hatua za haraka

Ahsante kwa uzalendo wako kwa Shirika lako
 
Tunampigia na wataalamu wetu wapo eneo husika sasa
Habari za Asubuhi.

Naanza kukosa imani na haya majibu yako unayotujibu humu ya kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Hao wataalamu uliosema jana wapo Eneo la Tukio wamekuwa GHOST hawaonekani kwa macho au ama.

Yule mama nimeongea na Jana usiku anadai hakuna aliyempigia wala aliyefika pale, na alikaa barazani kwenye mkeka siku nzima akiwasubiria.

Mnamtesa mama wa watu buree.
Bora atoke akajitafutie Riziki zake za ukulima.

Sijaelewa uliposema ( WATAALAMU WAKO ENEO LA TUKIO SASA HIVI )
ni kwamba wewe umedanganywa na hao mafundi wa Bagamoyo au wewe umetudanganya sisi ? Wich is wich ?

Any way siku mkijisikia kuja mtakuja.

Mama wa watu simwambii tena akae akusubirieni , mtajijua wenyewe na kazi zenu mnafanyaje.

Mi nakaa kimya . Kazi njema nazodhani labda unazifanya hapo.
 
Ndio shirika letu ndugu [emoji23] vumilia
 
Ahsante kwa taarifa

Wataalamu wetu walifika eneo la tukio hawakukuta mtu namba ta simu pia haipokelewi

(Upo ushahidi wa video na picha na simu ambayo haikupokelewa) hivyo tunamsihi mteja apokea simu au utupatia namba yako tuwe tunawasiliana na wewe.

Tupo kuwahudumia tupo kuwasikiliza
 
Picha hapo chini wataalamu wetu wakiwa kwa mteja
Screenshot_20210130-114857_WhatsApp.jpg
 
Ni utaratibu gani unatumika ili mteja abadilishiwe tariff kwa ajili ya manunuzi ya umeme(luku)?mfano toka matumizi makubwa ya zaidi ya unit 75 Hadi matumizi madogo ya chini ya unit 50.
 
Unashauriwa kufika ofisi ya eneo lako
 
Nimejaza form ya kuomba umeme toka tarehe 08.01.2021... nikaambiwa nisubiri siku 14 za kazi atanipigia surveyor... Leo nadhani bado siku 14 za kazi hazijakamilika...
Kigamboni kisarawe II...
 
Back
Top Bottom