Dah pole sana mkuu. Kiufupi kanda ya kaskazini kuna URASIMU mkubwa sana, nimeapa nafika kwenda kwa waziri Kalemani, lazima mtu afutwe kazi hapa hamuwezi kunicheleweshea kunifungia mita ya umeme, mwezi mzima ...
 
Tafadhali onyesha namba ya simu yako kwa ufatiliaji na hatua zaidi
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

FEBRUARI 04, 2021

TAARIFA YA MATENGENEZO KATIKA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA UBUNGO II NA KINYEREZI II

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa tumeanza kufanya matengenezo ya miundombinu ya Umeme katika vituo vya kufua Umeme kwa Gesi Asilia vya Ubungo II na Kinyerezi II.

Kutokana na matengenezo hayo, baadhi ya maeneo nchini yataathirika kwa kukosa huduma ya Umeme kwa nyakati tofauti.

Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na kazi kuhakikisha mashine zinatengemaa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa kadili kazi ya matengenezo inavyoendelea.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza

Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au kudondoka chini.

Toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu nawe, au wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - Kitengo cha Miito ya Simu 0222194400 na 0768 985100

Mitandao ya Kijamii :
Website:

www.tanesco.co.tz

Instagram: tanescoyetu

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz,

Twitter: www.twitter.com/tanescoyetu

Facebook: Tanesco Yetu


Imetolewa na;
OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO MAKAO MAKUU.
 
Dah pole sana mkuu. Kiufupi kanda ya kaskazini kuna URASIMU mkubwa sana, nimeapa nafika kwenda kwa waziri Kalemani, lazima mtu afutwe kazi hapa hamuwezi kunicheleweshea kunifungia mita ya umeme, mwezi mzima ...
Tafadhali onyesha namba ya simu wilaya na tatizo kwa hatua zaidi
 
Tumetatua tatizo samahani sana mpendwa mteja wetu
 
Kwa kawaida mtu akilipia umeme (single phase) inatakiwa afungiwe umeme baada ya muda gani( Dsm)
 
Tafadhali onyesha namba ya simu wilaya na tatizo kwa hatua zaidi
Mobile: 0754323937

Wilaya: HAI - Boma Ng'ombe!

Tatizo: SIJAFUNGIWA UMEME YAPATA MWEZI MMOJA UMESHAISHA NA MALIPO YAMESHAFANYIKA.

Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara Na: 991032295084
Kiasi: 26999.58 TZS
Risiti Na: 921006026785158
Tarehe: 2021-01-06T16:23:00
Kupitia:FH932981609939380
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Tatizo:nimelipa gharama za kuunganishwa umeme sijafanikiwa kuunganishiwa umeme

Eneo : Busenga Ilemela Mwanza...
Hii sijapata majibu taarifa zote ulizotaka nilitoa
 
Muda mwingine hawa jamaa wanaomba details ukishawapa hawarudi na majibu wala hawafanyi ufuatiliaji!!
 
Hii sijapata majibu taarifa zote ulizotaka nilitoa
Hii ulipewa taarifa na ofisi yetu ya Mwanza tunaifatiloa tena kuhakikisha unapata huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…