BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Dah pole sana mkuu. Kiufupi kanda ya kaskazini kuna URASIMU mkubwa sana, nimeapa nafika kwenda kwa waziri Kalemani, lazima mtu afutwe kazi hapa hamuwezi kunicheleweshea kunifungia mita ya umeme, mwezi mzima ...Taneeco Moshi mjini kitengo cha savey mnajiona kama shirika la baba yenu nimefungua malalamiko mpaka nimeamua kuweka sola kila siku mnadai hamna usafiri mnategemea wateja tufanye majukumu ya shirika au ndio mnasubiri magufuli aongee ndio muanze kumtafuta mchawi acheni kukwamisha juhudi za jpm mama mwenyew na hizi 0754343628 yuko mjini hapo savey anasema tanesco hamna usafiri wateja tugaramie hii ni sawa ?