Fanya kwanza marekebisho kwenye title(kichwa cha Habari)Mtu akitaka kuunganisha kwenye nguzo uliyo nunua tanesco unafanyaje?
Uandishi mbovu,Mtu akitaka kuunganisha kwenye nguzo uliyo nunua tanesco unafanyaje?
Nguzo ni mali ya TANESCO na sio ya mteja. Mtu akitaka kuunganisha umeme kutoka kwenye nguzo yoyote ile, inabidi awasiliane na TANESCO na afuate taratibu zao za kuunganishiwa umeme.Mtu akitaka kuunganisha kwenye nguzo uliyo nunua tanesco unafanyaje?
Nguzo ukishailipia, na kusimikwa tayari sio mali yako tena, inakuwa ni mali ya tanesco, kama unaogopa hilo, kabla hujaenda kuilipia, washirikishe, majirani zako, ili mchangie gharama ya nguzo hiyo/hizo.halafu mmoja ndio akalipie.tofauti na hivyo hakuna namna unaweza kuwazuia wasichukue umeme hapo.Mtu akitaka kuunganisha kwenye nguzo uliyo nunua tanesco unafanyaje?
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu...
Kigezo kikubwa cha kuweza kuwa tarrif 4, ni lazima uwe na matumizi madogo sana kwa mwezi!!wastani wa unit 2.5 kwa siku.Na nilazima uwe na matumizi hayo angau si chini ya miezi mitatu mfululizo!!ila kama una cheza kwenye 72-74 kuwa tarrifu 4, una kidhi lakini hawawezi kubali kwani unacheza kwenye mstari mwekundu!!punguza angalau ufike kwenye units 40-50 kwa mwezi!!japo ni ngumu kama una vitu vingi!!kwani kwa mwezi lazima ununue units 77tu kwa sh.10, 000!!Je vigezo gani mtu anaingia kwenye Tarrif 4? Binafsi nimejaribu kupunguza matumizi ya umeme ili niweze kuingia kwenye tarrif 4.
Nilienda ofisi za Tanesco kuwaeleza kwamba nimebana matumizi ambapo sasa natumia unit 72 mpka 74 lakini walikataa kuwa sina vigezo kwasababu huwa nanunua umeme mwingi.
Kweli sikuridhika ni hili jibu naomba ufafanuziS
Matatizo yangu nimesha waambia huko juu mkaniomba no yangu ya simu inakuwaje tena sahivi mnaniuliza tatizo nini? Ok tatizo hasa ni mita yenu inakula umeme kama kiwanda emagin umeme wa elfu 50 haumalizi siku 10 na nina tv na fridge taa 9 tu,Tatizo ni nini haswa mpendwa mteja wetu
Upo eneo gani
Wilaya gani
Ninakaa Dar es salaam ,madale kwa mzunguTatizo ni nini haswa mpendwa mteja wetu
Upo eneo gani
Wilaya gani
Asante mkuuKigezo kikubwa cha kuweza kuwa tarrif 4, ni lazima uwe na matumizi madogo sana kwa mwezi!!wastani wa unit 2.5 kwa siku.Na nilazima uwe na matumizi hayo angau si chini ya miezi mitatu mfululizo!!ila kama una cheza kwenye 72-74 kuwa tarrifu 4, una kidhi lakini hawawezi kubali kwani unacheza kwenye mstari mwekundu!!punguza angalau ufike kwenye units 40-50 kwa mwezi!!japo ni ngumu kama una vitu vingi!!kwani kwa mwezi lazima ununue units 77tu kwa sh.10, 000!!
Simu hazipokelewi mmeziweka hapa mapambo tuKituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu
0768 985 100/0222194400
Unapaswa kutoa taarifa ofisi za eneo lakoMmeniunguzia vitu jana..utaratibu ukoje tanesco wa complaints..au ndo kalagabaho