Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Je vigezo gani mtu anaingia kwenye Tarrif 4? Binafsi nimejaribu kupunguza matumizi ya umeme ili niweze kuingia kwenye tarrif 4.
Nilienda ofisi za Tanesco kuwaeleza kwamba nimebana matumizi ambapo sasa natumia unit 72 mpka 74 lakini walikataa kuwa sina vigezo kwasababu huwa nanunua umeme mwingi.
Kweli sikuridhika ni hili jibu naomba ufafanuzi.
Ne ni sahihi mtu anayenunua unit nyingi hawezi kuwa kwenye tarifu 4?