Daaah kwa joto hilo la dar asubuh itakuwa mbalii sanaa aseeeinaonekana ni mgao, sisi walikata asubuhi mpaka iyo saa 12, yaelekea nyie utarudi asubui
Haya mavikao yenu sisi hata hatuoni kama yana tija yoyote kwetu maana ukataji wa umeme kwa masaa mengi bila taarifa uko palepale na sijui mnakaa mavikao haya kujadili nini hasa😠😠😠😠😠😠😠😠😠Kikao kazi cha TANESCO na Wahariri Waandamizi wa vyombo vya habari TanzaniaView attachment 1713078View attachment 1713079View attachment 1713081View attachment 1713082
Eneo ni mikanjuni Tanga, na hata sasa ninavoandika hamna umeme, unakatika kila sikuEneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
Kimara Umeme toma Juzi unakatika siku nzima bila hata taarifa yani si upuuzi huu
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mteja halipii nguzo wala mita bali analipia kiasi halisi cha kufungiwa umeme hivyo wa vijijini wote ni Tsh 27000 na mijini gharama ni zile zileTanesco kama nguzo ni bure inakuwaje wengine walipe gharama za 521,000/= na wengine 321,000/= kuunganishiwa umeme?