Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Hii taarifa ya ITV leo, kuwa kiongozi mmoja ameagiza wananchi walioshindwa kulipia kuunganishwa umeme washitakiwe,ni kweli au?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali onyesha umelipia liniTanesco mnaleta lini SEAL Bagamoyo ili tupate kuunganishiwa nishati ya umeme??? Tumelipia umeme miezi mitatu sasa tunaambiwa hakuna SEAL je hizo SEAL zinafanya kazi gani????
Rdtrtr4rrrrereer4were drill I but hhhjNikitummia unit 20 kila mwez nitakuwa kundi la watumiaji wa tariff ipi
Ahsantw kwa taarifa mpendwa mteja wetu tafadhali onyesha namba ya simu kwa hatua zaidiHbr, mimi ni Mkazi wa Wilaya ya Mtwara Jimbo la Nanyamba. Swali langu kwa wanaohusika ni kwa nini umeme unakatika inafika zaidi ya mara 10 kwa siku katika maeneo kuanzia wilaya ya Mtwata vijijini, na Tandahimba?
Je ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu tafadhaliTanesco Tanga mmeanza mgap wa umeme? Mbona mwatukatia umeme kila wasaa bila taarifa tena kwa muda mrefu. Twauliza mara leo Kange hakuna, kesho makorora mara mwakidila na kwingineko. Shida nini??
Kwa kweli kwa Tanga umeme umekua changamoto kila siku au baada ya siku moja lazima umeme ukatike, Mikanjuni sasa hivi hamna umeme!!! Inachosha kwa kweli na hatutaarifiwi kama ni mgao au la!Tanesco Tanga mmeanza mgap wa umeme? Mbona mwatukatia umeme kila wasaa bila taarifa tena kwa muda mrefu. Twauliza mara leo Kange hakuna, kesho makorora mara mwakidila na kwingineko. Shida nini??
Tanesco kuna shida gani? nimelipia umeme mwezi mmoja na nusu umepita sijafungiwa umeme! Humu nimelalamika wee lakini hamna hatua yoyote:Walaya: Ilala
Kituo: G/mboto