TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
tumepomea taarifa kwa hatua zaidi

Habari tanesco napenda kutoa mrejesho wa ombi langu nililoliwasilisha kwenu leo tayari limefanyiwa kazi na huu ni ushahidi wa kazi yenu nzuri ninawaahidi kesho mapema asubuhi nitakuwa tayari nimeshalipia na nitaleta tena mrejesho Ahsanteni kwa kazi nzuri[emoji120]

Mrejesho

Katika kuonesha usiriazi juu ya jambo hili mapema leo nilikwenda kulipia malipo halali ya shilingi elfu ishirini na saba na ushahidi huu hapa[emoji116] ni matumaini yangu sasa ndani ya hizo siku saba mtakuwa tayari mmeshanifungia umeme natanguliza shukran nyingi kwenu na muwe na siku njema[emoji120]

View attachment 1705256View attachment 1705257View attachment 1705258
 
Attachments

  • F4F33CB8-12C1-41FA-BBA0-D2B3C1D55118.jpeg
    F4F33CB8-12C1-41FA-BBA0-D2B3C1D55118.jpeg
    382 KB · Views: 2
  • 538DF6F3-6C66-4353-9D93-6950A88AC2D3.jpeg
    538DF6F3-6C66-4353-9D93-6950A88AC2D3.jpeg
    292.8 KB · Views: 2
Hapa kijiji cha Mugundu wilaya ya Iramba tumesha choka kupiga simu ili tutatuliwe tatizo letu wiki sasa kila siku tunaambi emergence wanakuja hawaji tumesha nunua vibatari msije tena
 
Tunaomba taarifa zako kama jina, namba ya simu, eneo na mkoa
asante
 
Habari tanesco napenda kutoa mrejesho wa ombi langu nililoliwasilisha kwenu leo tayari limefanyiwa kazi na huu ni ushahidi wa kazi yenu nzuri ninawaahidi kesho mapema asubuhi nitakuwa tayari nimeshalipia na nitaleta tena mrejesho Ahsanteni kwa kazi nzuri[emoji120]

Mrejesho

Katika kuonesha usiriazi juu ya jambo hili mapema leo nilikwenda kulipia malipo halali ya shilingi elfu ishirini na saba na ushahidi huu hapa[emoji116] ni matumaini yangu sasa ndani ya hizo siku saba mtakuwa tayari mmeshanifungia umeme natanguliza shukran nyingi kwenu na muwe na siku njema[emoji120]

View attachment 1705256View attachment 1705257View attachment 1705258
asante sana kwa mrejesho
 
AHSANTEN SANAA KWA UPENDO WENU ILA.MSISUBIRI MPAKA TUJE HUKU

AIKUCHUKUA.NUSU SAA AMEKUJA MTU NA UMEME UKARUDI

MBAYA N YULEYULE.ALIEJIBU NAWATYMIA NAMBA MUINGIZE TOKA JANA DOH

ABARIKIWE ANAESIMAMIA HILI GROUP
 
Karibu sana
 
MKO VERY ACTIVE KWAKWELI HAKA KAUGONJWA KASIWAGUSE KABISA MAOMBI YA NGU KWA MUNGU MZIDI KUTENDA WEMA
STYBLSD
 
Mimi nimefanyiwa survey lakin sipewi control number ya kulipia.
Ukweli unaosemwa na watendaji WA Tanesco ni kwamba Wizara imesema wananchi wasilipie nguzo lakin hawakuipa budget Tanesco kusambaza umeme na kununua nguzo.
Hakuna uhusiano kati ya maelekezo ya Waziri na watendaji WA Tanesco.

Fuatilieni Tanesco Mlandizi mtaelewa ninachosema

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Je ni nani alikujibu hilo?

Tafadhali onyesha namba yako ya simu na jina uliloombea
 
Hili ni swala ambalo linawaadhiri wateja wote ambao wanahitaji nguzo. Na ukipata muda wa kuwasikiliza watendaji wanatia huruma.
Ni vyema jambo hili likaguatiliwa kwa ujumla sio lazima Mimi kuwa specific kwenye hili au kumtaja aliyenijibu.
Tanesco mnatakiwa kufuatilia na kuona

Tunataka kuanza na wewe kwa kuwa maombi ya umeme ni nyumba au sehemu ya mtu hivyo tuone taarifa zako na kuanzia hapo
 
Mimi nimefanyiwa survey lakin sipewi control number ya kulipia.
Ukweli unaosemwa na watendaji WA Tanesco ni kwamba Wizara imesema wananchi wasilipie nguzo lakin hawakuipa budget Tanesco kusambaza umeme na kununua nguzo.
Hakuna uhusiano kati ya maelekezo ya Waziri na watendaji WA Tanesco.

Fuatilieni Tanesco Mlandizi mtaelewa ninachosema

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Je ni nani alikujibu hilo?

Tafadhali onyesha namba yako ya simu na jina uliloombea
Ni karibia ofisi zote hapa Tanzania wanatoa majibu kama hayo.
Pindi nguzo zinapohitajika, maelekezo kutoka kwa maofisa ni kwamba nguzo zinatakiwa kulipiwa na mteja mwenyewe. Habari ya Waziri alikwisha toa oda kwamba nguzo ni bure, wao hawalijui hilo.
 
Tusaidie umeomba au kulipia umeme kwa jina gani wilaya gani tukuhudumie
 
Hivi unahitaji kufanya nini unapokosa kuunganishwa umeme miaka 5 baada ya kuwekewa nguzo?
 
Nyie Tanesco ni shirika la HOVYO KABISAAA....mnaona wakazi wa Kimara ni kama mafala yaani...mnakatakata umeme jinsi mnavyojisikia.Acheni huu ujinga maana hakuna siku inapita bila kukata umeme pande za Kimara tena hata bila sababu za msingi.Muda huu wa saa tatu usiku mmejikatika umeme kama vile hamkupaswa kutoa taarifa ya katizo kwa wakazi wa Kimara.Mnakera sana na mnaendesha shirika kijingajinga sana.
 
Tumepokea taarifa zenu kwa utekekezaji wapendwa wateja wetu, Tunawaomba radhi huku wataalamu wetu wakiendelea na jitihada zaidi
 
TANESCO hivi siku hizi inachukua miezi mingapi kumfungia umeme mtu ambaye amelipia service line na hahitaji nguzo?

Ni mwezi sasa tangu tulipie service line lakini naona kimya
 
Back
Top Bottom