TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kuna nini jamani umeme umekatika toka saa 9 al asir hadi sasa haujarudi ni mgao au nini
 
Radi moja jana, hatuna umeme kwa zaidi ya masaa 24 sasa. Siyo kwa nyakati hizi
 
TANESCO suala la umeme maeneo ya zingiziwa CHANIKA nyuma ya hospital ya zingiziwa vipi ? Mmeweka vile vialama vyenu vya vijiti hadi vimepotea, mmeshusha nguzo NGOBEDI je sisi wa ZINGIZIWA tusubiri hadi lini?
 
Ahsante kwa taarifa tunaifatilia kwa hatua zaidi
 
TANESCO Tanga kuna tatizo gani!? Umeme unakatika kila siku jana umekatika saa 9 mpaka saa tatu na nusu usiku, na leo umekatika tena bila taarifa na tukipiga simu zenu kuulizia zinakua busy aall the time au haziendi! Please help! Au atleast mtueleze shida ni nini na ni tatizo la mda gani ili tujipange!! Asante
 
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
 
Mida ya usiku mwanga wa umeme hutumika kurahisisha ulinzi Na usalama kwanini mnakata umeme?

[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Hivi Kuna mgawo wa umeme kwanini asubuhi mnakata umeme. Sisi mafundi aluminum tunafanyaje kazi. Huku salasala.
 
TANESCO kwanza nawapongeza kwa kuja na huu mfumo wa kuwafikia wateja kupitia JF.

Naomba namba ya Tanesco kituo cha Tegeta.
Niliahidiwa kuwekewa umeme ndani ya siku 30 za kazi lakini hadi wakati huu hakuna taarifa yeyote.

Mbaya zaidi, sihitaji nguzo yeyote zaidi ya service line tu. Umbali ni chini ya meter 30 tokea nguzo ilipo na nyumba.

Shukrani
 
Tafadhali tutumie

Jina

Eneo

Simu

Umelipa lini

Kwa hatua zaidi
 
Tanesco wekeni namba zenu hapa tuwapigie moja Kwa moja tuwape kero ila Mimi kuweka namba humu siwezi ng'o
 
Hivi jaman nyie tanesco mnavokata umeme Ilala gongo la mboto kuanzia jion saa kumi na mbili mpk saa hizi mnategemea tutalalaje na joto hili la dar???
 
inaonekana ni mgao, sisi walikata asubuhi mpaka iyo saa 12, yaelekea nyie utarudi asubui
 
Back
Top Bottom