Huku Maeneo ya Ukonga hasa Pugu kajiungeni,,mbona umeme unakatikatika hovyo hovyo hasa masaa ya jioni? halafu unakuta mtaa mwingine unawaka mtaa mwingine haupo.huu sasa ni mwezi wa sita.Halafu siku hizi hata taarifa hakuna kutolewa tena.

Biashara zetu zimeathirika pakubwa hatuwezi fanya malipo ya kodi ya mapato.

Ukiwapigia hao jamaa wa Tanesco Kisarawe unaambulia story tuu
 
Sasa afadhali TANESCO wamesikia kilio chetu kariakoo leo ni siku kadhaa umeme haujakatika
Huo ndio weledi tunaoutaka wananchi pale mnapopata taarifa zetu maana hapa ndo jiji la kibiashara kwa Tanzania yetu.
Pongezi kwenu TANESCO muendelee na kazi zenu kwa manufaa ya wananchi na sio kwa matakwa ya watu ili wauze majenereta kama ilivyokuwa miaka ya nyuma !
 
Mkuu acha utani bhana, ujue kwa hali hiyo sio ya kutishiana maisha ujue
Ni kweli hata mm imenitokea juzi kati mala nanunua luku meseji zinarudi nikaambiwa niwapigie tanesco kupata key change,c nikawapgia nkatumiwa hizo namba kununua umeme nkakuta nmepandishiwa bill maana mwanzo nilikuwa napewa unit 16.4 kwa 2000 lakini kwa Sasa napewa unit 5.7 kwa 2000 fikilia mkuu kutoka 16 mpaka 5 ni balaa stay tuned mkuu
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi
 
Habari Tanesco
Nimehamia kwenye nyumba Nina wiki mbili tangu nihamie ila kila niliangalia salio la umeme display inaandika error 77 au sleep na umeme upo ila sijui ni kiasi gani naombeni msaada wenu tafadhali
 
Makamu wa raisi Mama Samiah ,ameahidi kwamba tatizo la umeme kuanzia leo tarehe 16/03/2021 litakuwa mwisho.Sasa mbona Maji ya Chai,Arumeru Mashariki hakuna umeme.Sasa hivi ninavyoongea tupo gizani,totoro!
 
Tanesco misungwi mwanza mnakwama wapi toka juzi baadhi ya maeneo hatuna umeme
 
Tanesco Buseresere chato.
Nimelipia umeme toka mwezi wa 12 mwaka jana. Transfomer ipo uwanjani kwangu. Kuunganishwa tu imekua shida. Eneo nililopo ni buseresere mapinduzi
 
Tanesco Buseresere chato.
Nimelipia umeme toka mwezi wa 12 mwaka jana. Transfomer ipo uwanjani kwangu. Kuunganishwa tu imekua shida. Eneo nililopo ni buseresere mapinduzi
Tafadhali onyesha namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako ili tuweze kuona taarufa zako
 
Dah baada ya juzi kutulaza bila umeme leo mshapita nao asubuhi asubuhi huku kigamboni
 
Tanesco mmekata umeme wakati tunataka tuone tukio la kuapishwa kwa rais
Leo saa 2 tumeanza tu kuangalia habari umekatika mpaka sasa saa 3 hii bado hamna kitu, kulikoni wadau wa TANESCO?!
 
nimelipia umeme laki tano na elfu 18 nimelipa tayari toka mwezi wa pili na tanesco wameleta nguzo toka tarehe za mwanzo za mwez huu. Tatizo mpaka leo zimepita wik tatu hawajaja kuziweka hizo nguzo ( kufungiwa umeme ) na mim nianze kuzitumia hela nilizolipa .. Naomba uwakumbushe waje kuziweka na wanifungie umeme kuna nyumba imejengwa juzi juzi tu sasa hiv umeme unawaka na pale palikua panahitaji nguzo kama mimi na hawajasubilia hizo siku sitini au mpaka nitoe rushwa ndio mnaweka umeme mana unaona dalili rushwa wazi wazi. Na isitoshe nimeanza kupambana na swala la umeme toka mwaka jana mwezi wa tisa surveyor kuja imetumika nguvu ya ziada na naenda kuchukua control number mwezi wa 2 mwanzon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…