Tunafanyia kazi tafadhaliHabari wakuu!naomba kusajiliwa kwa meter yangu hii...
Christian G majengo
Meter no 54194906951
Nipo Dar es salaam
Jiji la ilala
0783721337
Kitonga
Nimejitahidi kuwafata ofisini kwao majibu ninayopata ni network ipo chini
Mkuu hiyo tariff ya kupata umeme mwingi kwa kiasi kidogo.Naomba kujua kila kitu kuhusu 0 tariff
- inamhusu mteja wa aina gani
- awe na sifa gani
- viwango vya malipo ili kuipata
- faida na hasara za hiyo huduma
- je ukijiunga waweza kujitoaje kama mteja anaiona haimfai
- inachukua muda gani tangu kuiomba mpaka kuipata
- utaratibu wa kuipata ukoje
Ahsante kwa taarifa tafadhaliNimelipia kuunganishiwa umeme tokea mwaka jana, nkawekea luku lakin ikashindwa kusoma, baada ya units za kuanzia nlizowekewa kwisha, Tanesco walikuja na kufungua luku na kuondoka nayo tokea mwaka jana mpaka Leo kimya
Jina Rose Mgonela
Eneo stend kuu mbeya
Wilaya Mbeya mjini
Simu 0752 262650
Namba ya taarifa 0083
Card Namba nlopewa mwanzo 43026582833
Tunafanyia kazi tafadhali
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
Je umetoa taarifa ofisi za aneo lako ? Kama ndio onyesha namba ya taarifa kwa hatua zaidiMita yangu ina shida imekatika waya sehem ya kuchomeka ili niweze kuingiza unit mnanisaidiaje kutatua tatizo hilo? Maana nimekua nikipata shida sana kuweka umeme
Ndio wameshakuja kubadilishaJe umetoa taarifa ofisi za aneo lako ? Kama ndio onyesha namba ya taarifa kwa hatua zaidi
Naomba kuuliza kwa eneo ambalo hakuna nguzo ila umeme upo karibu natakiwa kutumia utaratibu gani?Tunafanyia kazi tafadhali
Sijatoa taarifa naomba nieleweshwe nifanyeje ili nitengenezewe.Je umetoa taarifa ofisi za aneo lako ? Kama ndio onyesha namba ya taarifa kwa hatua zaidi
MREJESHO;
Napenda kutoa taarifa ya mrejesho wa ombi langu la kutaka kusajiliwa meter yangu asubuhi ya leo.
Meter iyo tayari imesajiliwa na niwashukuru sana Tanesco hasa kupitia jukwaa hili Ahsanten sana tena sana
Nina swali dogo tu kwenu hivi kama nikinunua umeme wa shilingi elfu tisa mia moja na hamsini(9150) ni kweli nitapata unit hizo 75?
Je umetoa taarifa ofisi za aneo lako ? Kama ndio onyesha namba ya taarifa kwa hatua zaidi