Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali njoo nacho ofisi zetu tukuangalia na kuchukua hatua satahikiHabari, button za hiki kidude zimekuwa ngumu mno. Zilianza chache lakini Siku hadi siku zinaongezeka button nyingine.
Naweza nkatumia hadi dakika 20 kuingiza umeme.
Hili tatizo linatatuliwaje?
Cc: TANESCO View attachment 1734158
Hawa jamaa wanatia hasira sana kwakweli watu tumejipanga kukaa majumbani wanakata ni shida hawa watuTANESCO hivi kimara mwisho tumewakosea nini nyinyi?Kimara mwisho kuna tatizo gani...Kimara mwisho kuna nini kisichotengenezeka?kwanini blakouts haziishi huku?Mmetula wiki mbili mmeanza tena mambo yenu.Nini hiki kisichomalizika moja kwa moja miaka nenda miaka rudi?
Kimara mwisho line inayolisha dawasco na TRA kwanini umeme unakatika sana miaka na miaka tukilalamika unatulia wiki tu mnaanza tena.Kuna shida gani line hii?
Na ndio laini inayolisha mji wa Kimara upande wenye uwekezaji wa kibiashara so u can see hasara mnazosababisha kwa wananchi wenye biashara zao nyingi maeneo haya.Hivi hamuoni aibu lakini?mbona maeneo mengine kunatuliaga mda mrefu kwanini Kimara tatizo haliishi miaka mingi?
Angalia mnatukosesha hata kushihudia mazishi ya Rais wetu.
Mnatia hasira sana nyinyi watu.
Unajua sio vizuri kufanya kazi huku watu wanasononeka juu yako.Endeleeni tu mnachotafuta soon mtakipata.
Wametajwa kwenye report ya PCCB huenda walilenga kuficha jambo lisisikikeNipo hapa Meatu njiani nikielekea nyumbani Iramba!
@TANESCO wamekata umeme!
Na joto hili kudadadekiTanesco zamu yenu kuachia ngazi temeke jana mmekata hamjaridhika na leo tena