Je kuna utaratibu gani kwa nyumba ya wapangaji,mpangaji ukitaka kuweka mita yako?Temeke Emergency
Mobile 022 213 8352
Home 0758 880 155
Tafadhalo onyesha namba yako ya simu na tatizo kwa hatua zaidi
Unapaswa kupata ridhaa ya mwenye nyumba na unatambue kuwa ukihama utaiacha hapo hapo kwa kuwa utakuwa haujalipia gharama ya mita bali umelipia gharama ya kufungiwa umeme.Aidha lazima tukague na kujiridhisha kuwa upo uhitaji wa kufanya hivyo.Tunakushauri ufike ofisi za eneo lako kwa hatua zaidiJe kuna utaratibu gani kwa nyumba ya wapangaji,mpangaji ukitaka kuweka mita yako?
Na gharama ni kiasi gani? Au ndio hiyo ya kawaida? 27,000/Unapaswa kupata ridhaa ya mwenye nyumba na unatambue kuwa ukihama utaiacha hapo hapo kwa kuwa utakuwa haujalipia gharama ya mita bali umelipia gharama ya kufungiwa umeme.Aidha lazima tukague na kujiridhisha kuwa upo uhitaji wa kufanya hivyo.Tunakushauri ufike ofisi za eneo lako kwa hatua zaidi
Ndio maana hakuna watu wa kuja kuwekeza wala maendeleo 0 hapo Mpwapwa kwa sababu ya vitu vya kijinga kama hiviUmeme wilaya ya Mpwapwa unakatika kila baada ya masaa machache. Kwa zaidi ya miaka miwili umeme haujawahi kufikisha saa 24 mfululizo. Tatizo ni nini?
Ndugu mpendwa Mteja wetuUmeme wilaya ya Mpwapwa unakatika kila baada ya masaa machache. Kwa zaidi ya miaka miwili umeme haujawahi kufikisha saa 24 mfululizo. Tatizo ni nini?
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tafadhali tambua kuwa Wilaya ya Mpwapwa umeme haukatika Wilaya nzima kama unavyodai, Tutumie taarifa kamili tufatilie swala lako kikamilifu.Tuma hata inbox lengo letu ni kukuhudima maana tunaamini nia yako ya kutoa lalamikowetu ni sisi kulifanyia kazi na wewe kupata mrejesho pamoja na kuona mabadilikoJina: MKAZI WA WILAYA YA MPWAPWA.
Eneo: WILAYA YOTE YA MPWAPWA.
Wilaya: MPWAPWA.
Namba ya simu: Ya DC au?
Tatizo: KUKATIKA KWA UMEME MARA KWA MARA. UMEME HAUJAWAHI KUKAA SAA 24 MFULULIZO.
Toka lini: 2019 hadi sasa.
Ahsante sana
Jina: MKAZI WA WILAYA YA MPWAPWA.
Eneo: WILAYA YOTE YA MPWAPWA.
Wilaya: MPWAPWA.
Namba ya simu: Ya DC au?
Tatizo: KUKATIKA KWA UMEME MARA KWA MARA. UMEME HAUJAWAHI KUKAA SAA 24 MFULULIZO.
Toka lini: 2019 hadi sasa.
Ahsante sana
View attachment 498143[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani tunaomba huku bonde la Rukwa/bondeni Sumbawanga kuna katizo la umeme wa REA ambalo nahisi halijawa hitokea katika inchi hii,mpaka inakera yaani.View attachment 498143
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1. ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2. NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3. KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4. JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5. MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6. KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7. KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;