AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Tanesco ni wasumbufu sana! Mimi CIU (Customer Interface Unit ) imezima haifanyi kazi. Nikaipeleka ofisini kwao, hawakunisaidia wakataka ninunue mpya kwa laki moja na elfu arobaini. Nikashangaa sana maana kifaa ni chao, kwanini hawafanyi marekebisho ya CIU kwa mteja?Habari,
Nipo Nyamongo wilaya ya Tarime Meter yetu Na 37210065324 inakula Sana umeme tofauti na matumizi yetu imagine umeme wa 5000 Tsh tunatumia kwa siku tatu umeisha na hamna friji,au vitu vinavyokula umeme Sana na Taarifa awali nishatoa Tanesco Tarime mwaka Jana wanakaniambia nirekebishe mfumo wa umeme yaani wiring fundi wao akaja akarekebisha mfumo wa umeme tukampatia Ela ya ufundi na kutuambia tujaze umeme tutumie ndani ya miezi mitatu matumizi yatabadilika Ila mpaka saivi hiyo miezi imepita hayajabadilika na badaye tulivyomwambia ndo akasema tulipie Ela sh 150,000/= kwa ajili ya kubadilishiwa hiyo mita labda tatizo litakuwa hilo Kuna shida gani hapa Kwan hizo mita mpaka utoe Ela kiasi hicho ndo unabadilishiwa mita?
Ndugu mteja tumepokea kwa hatua zaidiTANESCO NA MIRADI YA REA.
Nimeshawahi lalamika hapa ni kwa jinsi gani namna nilivyocheleweshewa kuungwa huduma ya umeme hasa kwenye maeneo ya vijijini.
Nipo wilaya ya Mufindi kijiji Cha Mkalala, nahudumiwa na ofisi ya TANESCO Mafinga.
Katika kijiji chetu tulipata umeme wa REA 2019.
Mkandarasi anayefahamika kwa jina la Sengerema ndiye aliyepewa tender ya kusambaza umeme ndani ya kata yetu ya Mninga na kata kadhaa ndani ya mkoa wa Iringa.
Mkandarasi alifanikiwa kuwasha umeme mnamo mwezi wa September 2019.
Baada ya kuwasha nyumba kadhaa hakuwahi kurudi tena katika kijiji hicho kuunga umeme katika kijiji na kata yetu ila tu ukifanya juhudi binafsi mkandarasi anakuja kufunga Mita mara moja na kuondoka. Juhudi binafsi ni zipi? Yaani kwa sasa wako vijiji vingine ndani ya Iringa, so ukihitaji Mita inakulazimu umtafte mkandarasi na umlipe pesa binafsi kama nauli (hongo) ya kiasi Cha 100,000 ndipo Fundi anakuja kufunga mita y'ako tuu na kuondoka.
Hivi sasa kuna wateja wengi Sana ndani ya kata ya mninga yenye vijiji 5 (Ikwega, Mninga, Mkalala, Kihanga na Itulituli) ambao tulishalipia huduma ya kuungwa umeme toka 2019 lakini hatujapata huduma, tatizo letu tumemfikishia Meneja TANESCO wilaya lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya kuambiwa mkandarasi ana upungufu wa vifaa yaani Mita lakini huyo huyo mkandarasi ukitoa pesa basi Mita unafungiwa mara moja.
Kucheleweahewa kufungiwa Mita zaidi ya mwaka mmoja na nusu hakujatukosesha huduma ya umeme tu, bali kumeikosesha serikali mapato ambayo yangetokana na ununuzi wa umeme.
Kafariki Magufuli hivi hili tutamlilia nani Ili umeme tuupaate bila ubabaishwaji?
Ndugu mteja,Tanesco ni wasumbufu sana! Mimi CIU (Customer Interface Unit ) imezima haifanyi kazi. Nikaipeleka ofisini kwao, hawakunisaidia wakataka ninunue mpya kwa laki moja na elfu arobaini. Nikashangaa sana maana kifaa ni chao, kwanini hawafanyi marekebisho ya CIU kwa mteja?
Hii shida nimekutana nayo pia, mafundi wanakuja wanakuta kimashine kinawaka tu hakionyeshi namba yoyote, wanasema kirahisi tu nenda ofisini, jaza fomu lipia laki na 33 utaletewa nyingine. Au kama una haraka tuzungumze ulipie hii ya kwetu tuliyokija nayo. Vidude vyenyewe ni Wasion, nadhani ni vya kichina, vina kesi nyingi kweli! Tanesco kwa nini hamtengenezi hutu tumashine mnatusukumia kwenye kulipia kengine kapya?Tanesco ni wasumbufu sana! Mimi CIU (Customer Interface Unit ) imezima haifanyi kazi. Nikaipeleka ofisini kwao, hawakunisaidia wakataka ninunue mpya kwa laki moja na elfu arobaini. Nikashangaa sana maana kifaa ni chao, kwanini hawafanyi marekebisho ya CIU kwa mteja?
Ndugu mteja,TANESCO NA MIRADI YA REA.
Nimeshawahi lalamika hapa ni kwa jinsi gani namna nilivyocheleweshewa kuungwa huduma ya umeme hasa kwenye maeneo ya vijijini.
Nipo wilaya ya Mufindi kijiji Cha Mkalala, nahudumiwa na ofisi ya TANESCO Mafinga.
Katika kijiji chetu tulipata umeme wa REA 2019.
Mkandarasi anayefahamika kwa jina la Sengerema ndiye aliyepewa tender ya kusambaza umeme ndani ya kata yetu ya Mninga na kata kadhaa ndani ya mkoa wa Iringa.
Mkandarasi alifanikiwa kuwasha umeme mnamo mwezi wa September 2019.
Baada ya kuwasha nyumba kadhaa hakuwahi kurudi tena katika kijiji hicho kuunga umeme katika kijiji na kata yetu ila tu ukifanya juhudi binafsi mkandarasi anakuja kufunga Mita mara moja na kuondoka. Juhudi binafsi ni zipi? Yaani kwa sasa wako vijiji vingine ndani ya Iringa, so ukihitaji Mita inakulazimu umtafte mkandarasi na umlipe pesa binafsi kama nauli (hongo) ya kiasi Cha 100,000 ndipo Fundi anakuja kufunga mita y'ako tuu na kuondoka.
Hivi sasa kuna wateja wengi Sana ndani ya kata ya mninga yenye vijiji 5 (Ikwega, Mninga, Mkalala, Kihanga na Itulituli) ambao tulishalipia huduma ya kuungwa umeme toka 2019 lakini hatujapata huduma, tatizo letu tumemfikishia Meneja TANESCO wilaya lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya kuambiwa mkandarasi ana upungufu wa vifaa yaani Mita lakini huyo huyo mkandarasi ukitoa pesa basi Mita unafungiwa mara moja.
Kucheleweahewa kufungiwa Mita zaidi ya mwaka mmoja na nusu hakujatukosesha huduma ya umeme tu, bali kumeikosesha serikali mapato ambayo yangetokana na ununuzi wa umeme.
Kafariki Magufuli hivi hili tutamlilia nani Ili umeme tuupaate bila ubabaishwaji?
Aisee ni kweli havina ubora, hata ile body yake sio imara likikaa muda mrefu inakuwa kama plastic iliyoharibiwa na jua inapukuchuka na kuvunjika kirahisi.Hii shida nimekutana nayo pia, mafundi wanakuja wanakuta kimashine kinawaka tu hakionyeshi namba yoyote, wanasema kirahisi tu nenda ofisini, jaza fomu lipia laki na 33 utaletewa nyingine. Au kama una haraka tuzungumze ulipie hii ya kwetu tuliyokija nayo. Vidude vyenyewe ni Wasion, nadhani ni vya kichina, vina kesi nyingi kweli! Tanesco kwa nini hamtengenezi hutu tumashine mnatusukumia kwenye kulipia kengine kapya?
Tanesco Kuna taarifa yangu nilitoa hapa mwanzo ila bado sijapata feedback yoyote na Mara ya kwanza mwaka Jana nilitoa taarifa ya mita yangu kula umeme mwingi kupita matumizi ya kawaida mkawabana hapa wilayani Tarime ndipo wakaniletea mita nyingine wakaifunga kishingo upande najua walikasirika kwa sababu walinambia wamepigwa simu kutoka makao makuu kuhusu madai yangu ambayo tatizo Ni lilelile tukawa tunafatilia ndipo wakatuambia kwamba shida Ni wiring Sasa tukafanya wiring nyumba nzima hakukuwa na tatizo lolote tulipowarudia wakasema Tena labda shida itakuwa Ni mita na huku mita yenyewe wao ndo walioileta wakaifunga Sasa nashindwa kuelewa wataletaje mita ambayo ina tatizo lilelile Kama ya mwanzo na saivi kupata mita nyingine wananiambia nilipie Ela 150000 ili fundi aje afunge Kuna shida gani maana naona wanatengeneza tatizo afu badaye likijirudia Tena wanakwambia utoe Ela ili ufungiwe mita mpya.Ndugu mteja,
Kulikuwa na changamoto ya mita, lakini kwa sasa mkandarasi amepata mita 3900 ambazo tumeanza kufugwa wiki hii.
Suala la kutoa pesa kwa wakandarasi, tumelipokea na tutalifuatilia.
Asante.
Sijamaanisha kuwa umeme umekatika la hasha, ni kwamba Maeneo ya Tambani, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, hatujaunganishwa na huduma ya umeme na tunaishi gizani. Wachache wamebahatika kuunganishwa na huduma hiyo lakini wengi wetu bado tupo gizani na nguzo hazijatandazwa mpaka leo na hatuoni dalili yoyote ya Kuunganishiwa huduma ya umeme. Toka nihamie huku ni mwaka wa pili sasa na hatuna matumaini yoyote.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Je umelipia kwa jina gani? Namba yako ya simu tafadhali JmSijamaanisha kuwa umeme umekatika la hasha, ni kwamba Maeneo ya Tambani, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, hatujaunganishwa na huduma ya umeme na tunaishi gizani. Wachache wamebahatika kuunganishwa na huduma hiyo lakini wengi wetu bado tupo gizani na nguzo hazijatandazwa mpaka leo na hatuoni dalili yoyote ya Kuunganishiwa huduma ya umeme. Toka nihamie huku ni mwaka wa pili sasa na hatuna matumaini yoyote.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Tanesco Muleba ni wababaishaji mama awatumbue.Tanesco muleba shamba kagera sio vizur mi nimelipia umeme toka mwezi wa tisa lakini mpaka now sijawashiwa sio vizur kabisa number yangu ni 0758320572
Mimi kwanini control number mnasumbua mara ya kwanza tar 20/02/2021 alifika nyumbani majohe savea kutoka chanika akapima kisha akaondoka ikapita wiki tano bila control number nikafuatilia majibu ni kuwa fomu ilirudishwa kwenye list ambao hajafanyiwa vipimo savea aliandika sipatikani, wakaniambia kwakuwa imeandikwa hivyo basi savea atakuja tena akaja savea tar 17/03/2021 mpaka nimeenda tarehe 22/04 /2021 wananiambia fomu haijakamilishwa na savea ikiwa wenzangu wote tuliopimiwa siku moja tayari wamepata control number nikimpigia savea kumuuliza hapokei simu ofisini wanasema mpigie Savea km ni pesa muorozeshe pesa ya savea iwe wazi, 0657230449 hiyo ndio niliyoandika kwenye fomuJe umelipia kwa jina gani? Namba yako ya simu tafadhali Jm
Mkuu taarifa zangu zote nimekutumia inbox au niziweke hapa..???Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali.JmMimi kwanini control number mnasumbua mara ya kwanza tar 20/02/2021 alifika nyumbani majohe savea kutoka chanika akapima kisha akaondoka ikapita wiki tano bila control number nikafuatilia majibu ni kuwa fomu ilirudishwa kwenye list ambao hajafanyiwa vipimo savea aliandika sipatikani, wakaniambia kwakuwa imeandikwa hivyo basi savea atakuja tena akaja savea tar 17/03/2021 mpaka nimeenda tarehe 22/04 /2021 wananiambia fomu haijakamilishwa na savea ikiwa wenzangu wote tuliopimiwa siku moja tayari wamepata control number nikimpigia savea kumuuliza hapokei simu ofisini wanasema mpigie Savea km ni pesa muorozeshe pesa ya savea iwe wazi, 0657230449 hiyo ndio niliyoandika kwenye fomu
Je ulipoambiwa tatizo ni wiring ulipofanya kuaguzi ulipata hati ya ukaguzi ( electrical installation inspection certificate))Tanesco Kuna taarifa yangu nilitoa hapa mwanzo ila bado sijapata feedback yoyote na Mara ya kwanza mwaka Jana nilitoa taarifa ya mita yangu kula umeme mwingi kupita matumizi ya kawaida mkawabana hapa wilayani Tarime ndipo wakaniletea mita nyingine wakaifunga kishingo upande najua walikasirika kwa sababu walinambia wamepigwa simu kutoka makao makuu kuhusu madai yangu ambayo tatizo Ni lilelile tukawa tunafatilia ndipo wakatuambia kwamba shida Ni wiring Sasa tukafanya wiring nyumba nzima hakukuwa na tatizo lolote tulipowarudia wakasema Tena labda shida itakuwa Ni mita na huku mita yenyewe wao ndo walioileta wakaifunga Sasa nashindwa kuelewa wataletaje mita ambayo ina tatizo lilelile Kama ya mwanzo na saivi kupata mita nyingine wananiambia nilipie Ela 150000 ili fundi aje afunge Kuna shida gani maana naona wanatengeneza tatizo afu badaye likijirudia Tena wanakwambia utoe Ela ili ufungiwe mita mpya.
Information zote kuhusiana na hapa nilipo nimekutumia inbox Naomba mnisaidie maana tangia mwaka Jana nimechoka kulipa luku ya 10000 kwa siku 5 sisi sio kiwanda hatuna friji na hatuna vyombo vya kula Sana umeme kwa Muda wote zaidi ya kutumia pasi kwa wiki Mara moja na hata hiyo wiki siku nyingine inaisha hatujatumia hiyo pasi na vingine Ni tv mbili tu ambazo zinawakaga sanasana jioni tukirudi na taa tunawashaga usiku tu Sasa hiyo 10000 luku inatumikaje..??