Salaam TANESCO...nawakumbusha tena kwa mwaka mwingine juu ya suala la kupatiwa umeme kwenye kitongoji cha KIJUKA kilichopo kijiji cha Mabuye kata ya Kassambya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera
 
TANESCO, kwanini mnakatakata umeme sana huku Kigamboni mpaka nakosa raha ya kukaa huku? Mnatuchukuliaje hasa aisee? Mnakata as if hatustahili kupewa notisi kabla ya kukata umeme?
Yaani tanesco kigamboni huwa wanatuona kama nyani vile..
 
TANESCO kwa kweli mnafanya kazi nzuri ILA NYINYI NI KAMA WATU WA ARDHI inawezenaje Mteja kalipia Mita na imekuja na wakati mwingine hadi nguzo labda imefika eneo husika lakini kwenda kumfungia mpaka atoe hela vinginevyo atakaa wewe kila siku mnamzungusha!!!!!!! Jamani mtu kalipia na Mita imefika, why take soo long kwenda kumfungia Umeme? Nyie hamnaga AUDITING QUERY kwa MITA KUKAA MUDA MREFU? Kama zipo mnazitatua vipi?
 
Umeme maeneo ya chang'ombe temeke ni mdogo sana siku ya tatu
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
jina ni JOSEPH MHINA, nyumba iko kata ya Mtibwa ndani ya mji mdogo wa Madizini, wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro tatizo ni kuwa nina uhitaji wa kuiingiza umeme ndani ya nyumba survey imeshafanyika na mambo mengine lakin wanasema tatizo ni nguzo hakuna hawawezi kuingiza umeme ingekuwa nguzo haihiitajiki umeme wangeweza ingiza surveyor amesema zinatakiwa nguzo 2 maombi yamepelekwa ofisi za Tanesco tangu mwaka jana 2020 mwezi wa pili hadi saizi mwezi wa nne 2021 habari nii hiyo tu hakuna nguzo tushaenda ofisini hata mara mia inafika 0657 980615 au 0653 639214
 
Naitwa RUMISHAEL NJAU
NAMBA YA HUDUMA: TB-4185/03
Pugu Kichangani
Ilala
0713683422
Umeme ulicheza cheza nikaripoti tar 22/3/2021 kituo cha CHANIKA
wamefika tar 28/3/2021 WAKAUKATA na kunitaarifu kuwa baada ya WIKI MBILI nitabadilishiwa mita.
mkuu nimefwatilia naambiwa Bado nisubiri na kupiga simu najibiwa nisubiri mwezi unaisha sasa niko gizani.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI
 
Nawashukuru sana. Sasahivi nimefungiwa mita. Umeme urejeshwa. Mbarikiwe sana.
 
Umeme unakatika kila siku huku Tandika Maeneo ya Mwembe Yanga, kwa nini? au mgao
 
Chang'ombe mmetukatia umeme toka jana tatizo ni nini
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Mita yangu imekuwa na tatizo la kukata umeme pasipo kuwa na sababu yoyote, sehemu nyingine umeme unakuwepo tena mnaotumia line Moja lakini kwangu hakuna. Siku nyingine ukikatika unaporudi kwangu haurudi mpaka baada ya masaa matatu au zaidi. Nimekwenda kulipoti Tanesco Mara mbili, Mara ya kwanza mafundi walipokuja walikuta umeme upo na wakasema hawawezi kufanya chochote maana umeme upo, wanadeal na watu ambao hawana.

Mara ya pili walipokuja umeme haukuwepo baada ya kuangalia wakasema mita yangu haina tatizo isipokuwa ipo sensitive Sana kiasi kwamba umeme ukiwa mwingi au mdogo kwenye line mita hairuhusu umeme kuingia wakaondoka! Tatizo kimekuwa kubwa kiasi kwamba muda mwingine unakaa masaa mpaka 12 bila umeme au unawaka masaa mawili unakata!
 
Tangu Jana mcha eneo la Kongowe mashine ya maji Hadi Kigelo, Kibaha. Pwani hakuna umeme.
Tanesco kazi iendelee
 
Matumizi ya umeme yameongezeka siku hizi TANESCO punguzeni Bei za units
 
Tangu Jana mcha eneo la Kongowe mashine ya maji Hadi Kigelo, Kibaha. Pwani hakuna umeme.
Tanesco kazi iendelee
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…