nashangaa tanesco wameshindwa kuwa na backup jamani kwamba system hii ikifeli tunawasha hii yani tuko kwenye ujima kama miaka ya 1960s hukoKwa hiyo ina maana ni nchi nzima umeme haununuliki waziri mwenye dhamana na shirika amelala usingizi mpaka rais tumekwisha.
na mapesa yote wanashindwa kuwa na backup na watu wa usalama wanaacha tu nchi inahujumiwa tanesco hawaangalii wamepoteza billions ngapi kwa siku tatu hiziNyie Tanesco ni wapuuzi sana sijawahi kuona shirika ambalo baada ya kujiendeleza ndio tunarudi nyuma. Siku ya tatu karibu nchi nzima inalia juu ya kukosekana kwa umeme kupitia njia ya mitandao.
Ni nchi nzima mkuu, kama una akiba ya unit kwenye meter yako jitahidi uzime vifaa na taa za ziada maana hakuna anayejua hili tatizo litatatuliwa lini, labda wadukuzi waliodukua bomba la mafuta la huko USA wameelekeza mashambulizi yao Tanzania!
Isije ikawa ni hujuma !
Mifumo,mifumo,Isije ikawa ni hujuma !
kwanini kusiwe na backup kuwa mfumo huu ukijamba tunawasha huu hii kitu ni uzembe wa hovyo kabisaMifumo,mifumo,
Kama uhai wa binadamu,
Kuna wakati ina changamoto....
Juzi USA wamepigwa kwenye mabomba ya mafuta na wakasumbuka balaaa,
Na wao ndio Wana kila kitu, Sembuse sisi wa dunia ya tatu?
Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
imagine kaka shirika linahudumia watanzania millioni 60 linatengemea mfumo mmoj tu alaf sawa mnao mmoja jiandaen na changamot bas pia hamn mpak waziri aseme fanyeni hivi...dah...kwanini kusiwe na backup kuwa mfumo huu ukijamba tunawasha huu hii kitu ni uzembe wa hovyo kabisa
Sasa hv tunaweza kununua unemeasante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Sasa hv tunaweza kununua uneme
Hizi mambo tulikuwa tunasahau asee, but zinaanza kuibuka upya tena kwa ustadi wa kipekee, na unaona bimkubwa ametulia au hajui kinachoendelea..!.Mpango wa kuuza magenerator naona unafanikiwa kwa kasi
Nimestuka sanaNamba ya Muamala: 648171097. Umenunua LUKU Tsh 6,500 Kwenye Namba ya Mita: 43002261956 wakati 2021/03/21 21:52:50, Gharama TSH 100: TOKENI:50377900650532133840. Salio lako jipya ni TSH 44,739. Asante!....naombeni Tanesco muweze kunirudisha
hela yangu kwenye account yangu ya halopesa maana hio meter imebadilishwa wameweka mpya.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kivipi!?Naona imekubali.!