Tatizo la Luku vipi?!!!
 
Hapa waliowengi wanaelewa kwamba kinachotokea kwa zaidi ya SAA 48 baadhi ya wananchi kuwa gizani,nimatokeo ya kuwekwa watu kwenye mifumo ambao hawana uwezo.
Tanesco mmeweka watu wasiokua na uwezo wa kushuhulikia matatizo na watu wanaoweza hizo mambo mmewaachatu mitaani wanazagaa.

Kwakua roho mbaya na ubinafsi ndio vinatawala katika mfumo wa ajira maana kuna watu wanaweka ndugu na jamaa zao hata hawana vigezo,sasa Mungu ameingilia kati.

SERIKALI WEKENI WATU WENYE TIJA KATIKA SHIRIKA ONDOENI WATU WANAOFANYA KAZI KWA MAZOEA.
AU NIBORA YAANZISHWE MASHIRIKA MENGINE WANANCHI TUWE HURU KUCHAGUA PENYE HUDUMA YA UHAKIKA,NAFUU NA UBORA.
AU WAAJIRIWE WAZUNGU MAANA WATANZANIA HATUPENDANI

NCHI KUA GIZANI KWA MUDA WOTE HUO NINADHANI NI MATOKEO YA RUSHWA, UNDUGU NA UJAMAA KUTAMALAKI KATIKA UTARATIBU WA KUAJIRI

TANESCO ISUKWE UPYA BLAA BLAA ZIACHWE
 
Mita ninayo tumia imebadili matumizi kutoka matumizi madogo hadi makubwa yaani napewa Unit chache sana.
Hivyo TANESCO naomba mwongozo wa kubadili matumizi hayo
 
Mbona tokens nilizonunua kipindi cha mgomo wa luku haziingii tena kipindi hiki ambao luku zimerudi hali ya kawaida.? Au ndo nimepigwa tayari.?
 
Ili kuleta tija Wakati umefika wa kuligawa hili shirika kuwa kampuni 2 tofauti- moja( power generation and distribution) na pili ( uuzaji wa umeme) na ikibidi kwenye uuzaji wa umeme waruhusu makampuni binafsi kuwekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…