TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Inatagemeana na meneja wa ene na mkadiliaji wa hasara wameamukaje au wana hasara ya sh. Ngapi kwenye eneo lao, ili iwasaidie kuziba mapengo ya upotevu walioufanya. Kifupi tunakujumulishia na vimeo vingine ili unaweza ukawa umetumia unit mia 500 tunakuambia umetumia unit milion zote ili uwe muhujumu uchumi kwelikweli mpaka nchi nzima ijue wewe ndo ulichangia tukachelewa kufika uchumi wakati tunakupeleka mahakamani na eskoti ya magari ya police sita kama kuna sehemu tulipiga hela basi tunakuunganishia humohumo

NB: hii ni kwa nchi ya VENEZUELA sijui kwa TANZANIA msinikoti vibaya

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Asee venezuela kiboko
 
Mimi nimefanikiwa kununua ila ndo haikubali kuingia.
TANESCO pambav zenu, nina kazi muhimu ya kufanya
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KATIZO LA DHARURA WILAYA YA KIMARA


Wapendwa wateja wetu tunasikitika kuwataarifu kwamba mnakosa huduma ya Umeme kuanzia saa 02:25 Asubuhi hii ya tarehe 21/05/2021

MAENEO YANAYOATHIRIKA

King'ong'o, Matosa, Kimara Baruti, Kimara B, baadhi ya maeneo ya Temboni, Kibanda cha mkaa, Mbezi, Tegeta A, Baadhi ya maeneo ya Goba, Msumi, Makabe, baadhi ya maeneo ya Stop over, Suka na maeneo ya Jirani.

Hii ni hitilafu ya dharura ambayo imejitokeza kwenye njia yetu ya kusafirisha Umeme hivyo wataalamu wetu tayari wanafanya jitihada za haraka kubaini chanzo na kuhakikisha huduma inarudi kwenye hali yake ya kawaida

KWA HUDUMA ZA DHARURA PIGA SIMU:- 0717379696, 0788379696

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza


Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa wateja
TANESCO- Kimara
21/05/2021
TANESCO hiyo hitilafu haijaisha tangu ijumaa?
Leo asubuhi mmekata umeme Kimara ile ya upande wa bonyokwa na mchana huu mmekata umeme Kimara mwisho yote.

Mimi sitachoka naendelea kukupa taarifa uone tatizo la Kimara lilivyo kubwa. Hazipiti siku mbili lazima uonione humu nalalamika.

Hii ndio hali halisi Kimara.
Kwa hiyo hizo dharura haziishi miezi nenda miezi rudi? mmeshindwa kudhibiti dharura za mara kwa mara?Then why are you there in the first place?
 
Huu mshirikia umekuwa waKIPUMBAVU SANA SANA....yaani kila siku nyie VIAZI lazima mkatekate umeme huku KIMARA.....mnakera sana takataka nyie,LUKU TABU UMEME NAO WAKUPIMAPIMA.....JUMAPILI YOTE HII MNAKATA UMEME HATA BILA TAARIFA TAKATAKA KABISA NYIE😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
Siku ya Leo mmenitesa Sana na mmenilaza njaa! Yaani nimenunua token za sh. 100000/= kupitia account ya nmb nikazipata.

Kuangalia salio nakuta mmekata sh. 100000/= nyingine bila Mimi kucommand na token na sms hamkurudisha Hadi nilipowapigia nmb wakanirejesha kwenu na ninyi mkakiri kukata hiyo pesa Mara mbili na kunitumia token zinginezo ambazo sikuzihitaji!

Hii tabia ya watu wenu wa IT kuzama kwenye account za watu na kulazimisha kununua umeme ambao mteja hakuuhitaji siyo sawa. What if Kama kwenye account kungekuwa hakuna pesa, mngefanya the same kunipa token hizo?

Kweli nimekwazika mno na kwa kuwasina la kuwafanya Basi sawa! Na Kama mfumo wenu wa luku unaiba kwenye account za wateja Basi toeni taarifa!
 
Siku ya Leo mmenitesa Sana na mmenilaza njaa! Yaani nimenunua token za sh. 100000/= kupitia account ya nmb nikazipata. Kuangalia salio nakuta mmekata sh. 100000/= nyingine bila Mimi kucommand na token na sms hamkurudisha Hadi nilipowapigia nmb wakanirejesha kwenu na ninyi mkakiri kukata hiyo pesa Mara mbili na kunitumia token zinginezo ambazo sikuzihitaji!
Hii tabia ya watu wenu wa IT kuzama kwenye account za watu na kulazimisha kununua umeme ambao mteja hakuuhitaji siyo sawa. What if Kama kwenye account kungekuwa hakuna pesa, mngefanya the same kunipa token hizo?
Kweli nimekwazika mno na kwa kuwasina la kuwafanya Basi sawa! Na Kama mfumo wenu wa luku unaiba kwenye account za wateja Basi toeni taarifa!
Hapa huku tunashindwa kununua luku sijui tanesco wanamalengo gani hata kama sisi wanyonge ndo mtutese hvyo mnakelaaaa sana sijui mnakaa maofisini mkisubr mishahara ya bule wakati hamfanyi kazi hebu jitafakalini na waziri mwenye dhamana na hili swala sijui anatuwazia nn siwaelewi kabisa
 
Jioni ya leo imekuwa ngumu sana kununua Umeme kupitia mitandao ya simu.
Swali kwa TANESCO
Je tatizo lile la wiki iliyopita limerudi tena?
 
Back
Top Bottom