TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kwa nini tanesco msiwe na mfumo wa moja Kwa moja Kwa wateja wa vijijini kuwa kwenye malipo madogo badala ya sasa mpaka mteja aombe kushushwa kutoka kwenye matumizi makubwa kwenda matumizi madogo

Hapo ndipo rushwa inapotawala ukiandika barua ya maombi itakaa miaka kadhaa hupati majibu lakini ukitoa mlungula hapo hapo unashushwa sasa tanesco angalieni hii kitu inawaumiza wananchi
 
Tanesco Wilaya ya MBINGA sijui Kuna nini?

Nimebadilishiwa mita tangu 28/12/2020 lakini Hadi Sasa unit zangu 76.4 zilizo kuwa mita ya awali sijazipata bado.
Nimekuwa nikifuatilia suala hili utadhani na Mimi nafanya kazi Tanesco.

Katika kufuatilia suala hili,kumpata fundi aliyefika kubadilisha mita ilichua zaidi ya mwezi utadhani ofisi ina mafundi zaidi ya 1000.

Baada ya kumpata fundi mita ilipigwa picha na kupelekwa kwa mhasibu napo Pana shidi na vikwazo kuliko kumtafuta fundi kwani nimefuatilia Mara nyingi bila mafanikio.

Wiki 2 zilizopita niliamua kumwona meneja nikamweleza suala langu akamwita mhasibu,majibu yake nitashughulikia lakini Hadi Sasa hakuna kilicho endelea.

Pia Tanesco MBINGA huduma kwa wateja hawana utaratibu wa kutoa namba ya taarifa inayo msaidia mteja kufanya ufuatiliaji wa utatuzi wa tatizo lake alilo litolea taarifa.

Kwa kweli Hawa tanesco Wilaya ya MBINGA sijui wanataka nini kutoka kwangu kwani hizo unit ni haki yangu walipaswa waziweke kwenye mita mpya bila shuruti lakini wao kufanya hivyo ni Kama wanafanya fadhira.

Najiuliza wamefanya hivyo kwa wateja wangapi? Je,wale wanaotoka vijijini ninyi tanesco mnajua gharama wanazotumia?

Naombeni ushauri wenu nifanye nini?
Je, Nikamwone meneja mkoa?
Taarifa zangu binafsi nenda inbox
 
Tanesco Wilaya ya MBINGA sijui Kuna nini?
Nimebadilishiwa mita tangu 28/12/2020 lakini Hadi Sasa unit zangu 76.4 zilizo kuwa mita ya awali sijazipata bado.
Nimekuwa nikifuatilia suala hili utadhani na Mimi nafanya kazi Tanesco.
Katika kufuatilia suala hili,kumpata fundi aliyefika kubadilisha mita ilichua zaidi ya mwezi utadhani ofisi ina mafundi zaidi ya 1000.
Baada ya kumpata fundi mita ilipigwa picha na kupelekwa kwa mhasibu napo Pana shidi na vikwazo kuliko kumtafuta fundi kwani nimefuatilia Mara nyingi bila mafanikio.
Wiki 2 zilizopita niliamua kumwona meneja nikamweleza suala langu akamwita mhasibu,majibu yake nitashughulikia lakini Hadi Sasa hakuna kilicho endelea.
Pia Tanesco MBINGA huduma kwa wateja hawana utaratibu wa kutoa namba ya taarifa inayo msaidia mteja kufanya ufuatiliaji wa utatuzi wa tatizo lake alilo litolea taarifa.
Kwa kweli Hawa tanesco Wilaya ya MBINGA sijui wanataka nini kutoka kwangu kwani hizo unit ni haki yangu walipaswa waziweke kwenye mita mpya bila shuruti lakini wao kufanya hivyo ni Kama wanafanya fadhira.Najiuliza wamefanya hivyo kwa wateja wangapi? Je,wale wanaotoka vijijini ninyi tanesco mnajua gharama wanazotumia?
Naombeni ushauri wenu nifanye nini?
Je,Nikamwone meneja mkoa?
Taarifa zangu binafsi nenda inbox
Tafadhali tupatie namba yako ya simu kwa hatua za haraka.Tunakuomba radhi sana mpendwa mteja wetu
 
Nimetoa malalamiko hapa na namba nimeombwa lakini sijapata mrejesho wowote
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Huku mtaani sasa ni mwendo wa kuungurumisha majenereta.

Shida ni nini haswa?

Mnakata umeme na kuharibu mifumo.

Tusaidieni ili wananchi tuendelee kujenga uchumi wetu sisi wenyewe.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Jina Abdallah ally kheri
Wilaya mkuranga
Kata vikindu
Kijiji kazole

Tatizo kuunganishiwa umeme nilipeleka maombi agust mwaka 2019 mpaka hivi sasa napoandika sms hii sijapata umeme na jirani zangu umeme wamepata wamepataje sifahamu namba zangu 0788610714 au 0688298141
 
Je ulipeleka maombi au ulifanya malipo?
 
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1. ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2. NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3. KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4. JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5. MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6. KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7. KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422

7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

Mimi naitwa Donald kutoka Urambo,napenda kupongeza shirika la Tanesco kwa kazi inayofanya ila nina maoni :kwanza Tanesco imejikita kusambaza umeme vijijini lakini mimi na wilaya ikiachwa bila mipango ya kusambaza umeme, katika mimi na wilaya kuna kama nyingi ambazo hazijasambaziwa umeme na hii ni kwa sababu Tanesco inasubiri watu wakaombe umeme ofice za Tanesco wilaya husika na wakifika mlolongo unakuwa mrefu Mara Mara kuna afisa atakwenda kutathimini ni nguzo ngapi na kila nguzo ni 300,000/ halafu ndiyo ykalipie nguzo utakazoambiwa,lakini tatizo lina kuja pia wilaya haina store za vifaa vya kuunganisha wateja ,store Mara nyingi zipo mkoani na mkoani unaweza kukuta vifaa halitosis hivyo inachuakua muda mrefu kumuunganishia mteja.

Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila mji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?

MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mapaka wiring.

Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha kama ngapi katika mimi na wilaya umeme, kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime au walipwe kwa pay per performance.

Tatu naomba wilaya ziwezeshwe ziwe na store ya vifaa ili mteja alkilipa afungiwe umeme mapema, mwisho Tanesco waige idara ya maji mteja akipigiwa hesabu zake kama hana pesa aruhusiwe kulipa kidogo kidogo kila mwezi kw miezi 5_ 10 lakini awe amepewa huduma kwahiyo atakuwa nalipa deni na analipa Bill zote kwa pamoja.

Inne kila wilaya iwe na afisa mhamaishaji ambaya atapitia kila kaya ambazo hazina umeme kuzihamasisha ziunganishwe na umeme kwa bei nafuu na mkopo.(hili la mkopo ni zuri kwani ukipata mteja atalipa Bill zake milele kwahiyo hakuna hasara kwa shirika kama mobisol wanaweza kukopesha mpaka 4,000,000 je Tanesco mnashindwa nini? Kwa mteja wa milele?)

Waziri azungumze lugha moja na watendaji wa Tanesco siyo anahubiri kuunganisha umeme 27,0000/ lakini kumbe ni ndani ya mita 30 tu ,lakini ukiwa nje ya mita 30 unalipa nguzo moja 300,000 na kuendelea.

Ni mimi Donald Musimu 0782100081 urambo
 
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1. ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2. NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3. KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4. JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5. MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6. KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7. KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422

7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Mimi naitwa Donald kutoka Urambo,napenda kupongeza shirika la Tanesco kwa kazi inayofanya ila nina maoni :kwanza Tanesco imejikita kusambaza umeme vijijini lakini mimi na wilaya ikiachwa bila mipango ya kusambaza umeme,katika mimi na wilaya kuna kama nyingi ambazo hazijasambaziwa umeme na hii ni kwa sababu Tanesco inasubiri watu wakaombe umeme ofice za Tanesco wilaya husika na wakifika mlolongo unakuwa mrefu Mara Mara kuna afisa atakwenda kutathimini ni nguzo ngapi na kila nguzo ni 300,000/ halafu ndiyo ykalipie nguzo utakazoambiwa,lakini tatizo lina kuja pia wilaya haina store za vifaa vya kuunganisha wateja ,store Mara nyingi zipo mkoani na mkoani unaweza kukuta vifaa halitosis hivyo inachuakua muda mrefu kumuunganishia mteja.

Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila mji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?

MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mapaka wiring.

Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha kama ngapi katika mimi na wilaya umeme.kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime .

View attachment 498143

Mimi naitwa Donald kutoka Urambo,napenda kupongeza shirika la Tanesco kwa kazi inayofanya ila nina maoni :kwanza Tanesco imejikita kusambaza umeme vijijini lakini miji na wilaya ikiachwa bila mipango ya kusambaza umeme,katika miji na wilaya kuna kama nyingi ambazo hazijasambaziwa umeme na hii ni kwa sababu Tanesco inasubiri watu wakaombe umeme ofice za Tanesco wilaya husika na wakifika mlolongo unakuwa mrefu Mara Mara kuna afisa atakwenda kutathimini ni nguzo ngapi na kila nguzo ni 300,000/ halafu ndiyo ykalipie nguzo utakazoambiwa,lakini tatizo lina kuja pia wilaya haina store za vifaa vya kuunganisha wateja ,store Mara nyingi zipo mkoani na mkoani unaweza kukuta vifaa halitosis hivyo inachuakua muda mrefu kumuunganishia mteja.
Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila mji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?
MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mapaka wiring.
Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha kama ngapi katika miji na wilaya umeme.kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime .waajiriwe maafisa mauzo kila wilaya wahamasishe kwa kila kaya wsunganishe umeme kwa bei nafuu au mkopo,idara ya maji wameweza hili.
Wilaya iwe na vifaa vya kutosha yaani wawe na store zao,pia watandaze nguzo kila mtaaa ibaki kuunganisha wateja bila tatizo.

Kuwe na lugha moja na watendaji na waziri siyo waziri anasema 27,000 tu kuunganisha bila ya kusema hiyo unalipa ukiwa ndani ya mita 30 tu,ikizidi hapo unalipa 300,000 kila nguzo na zaidi ya hapo.yote kwa yote kama haiwezekani basi mkopeshe wateja kwa muda fulani ili wateja wamudu kulipia gharama, kama mobisol wanaweza kumkopesha mteja mpaka 4,000,000 je tanesco wanashindwa wapi wakati mteja akishaunganishwa atalipa Bill milele?
 
TANESCO hii imekaa poa, mnapambana sana japo kuna mwonekano flani km hamfanyi kitu ila nimechunguza nimeona mnafanyakazi ktk mazingira magumu sana, endapo km mngekuwa na vitendea kazi vilivyojitosheleza mngekuwa shirika bora km la South Africa nk...

Pigen kelele serikali iwawezeshe hasa magari makubwa ya kazi na baadhi ya vitu vichache mtakuwa mmemaliza.
M
View attachment 498143
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1. ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2. NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3. KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4. JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5. MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6. KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7. KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422

7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Mimi naitwa Donald kutoka Urambo,napenda kupongeza shirika la Tanesco kwa kazi inayofanya ila nina maoni :kwanza Tanesco imejikita kusambaza umeme vijijini lakini mimi na wilaya ikiachwa bila mipango ya kusambaza umeme,katika mimi na wilaya kuna kama nyingi ambazo hazijasambaziwa umeme na hii ni kwa sababu Tanesco inasubiri watu wakaombe umeme ofice za Tanesco wilaya husika na wakifika mlolongo unakuwa mrefu Mara Mara kuna afisa atakwenda kutathimini ni nguzo ngapi na kila nguzo ni 300,000/ halafu ndiyo ykalipie nguzo utakazoambiwa,lakini tatizo lina kuja pia wilaya haina store za vifaa vya kuunganisha wateja ,store Mara nyingi zipo mkoani na mkoani unaweza kukuta vifaa halitosis hivyo inachuakua muda mrefu kumuunganishia mteja.

Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila mji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?

MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mapaka wiring.

Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha kama ngapi katika mimi na wilaya umeme.kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime .
Mimi naitwa Donald kutoka Urambo,napenda kupongeza shirika la Tanesco kwa kazi inayofanya ila nina maoni :kwanza Tanesco imejikita kusambaza umeme vijijini lakini mimi na wilaya ikiachwa bila mipango ya kusambaza umeme,katika mjinina wilaya kuna kama nyingi ambazo hazijasambaziwa umeme na hii ni kwa sababu Tanesco inasubiri watu wakaombe umeme ofice za Tanesco wilaya husika na wakifika mlolongo unakuwa mrefu Mara Mara kuna afisa atakwenda kutathimini ni nguzo ngapi na kila nguzo ni 300,000/ halafu ndiyo ukalipie nguzo utakazoambiwa,lakini tatizo lina kuja pia wilaya haina store za vifaa vya kuunganisha wateja ,store Mara nyingi zipo mkoani na mkoani unaweza kukuta vifaa havitoshi hivyo inachuakua muda mrefu kumuunganishia mteja.
Ushauri kwanini tanesco isitumie wakandarasi kila mji na wilaya ili kuharakisha usambazaji wa umeme kama REA?
MJIFUNZE KWA MAKAMBUNI YA SOLA KAMA MOBISOL yaaani ukiomba ndani ya siku mbili umeunganishiwa tena mapaka wiring.
Pili mameneja wa wilaya wapimwe kwa kufanyiwa tathimini ameunganisha wateja ngapi katika kaya za miji na wilaya.kama atakuwa kaya nyingi hazijaungunishwa ajipime .
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KATIZO LA DHARURA WILAYA YA KIMARA

Wapendwa wateja wetu tunasikitika kuwataarifu kwamba mnakosa huduma ya Umeme kuanzia saa 02:25 Asubuhi hii ya tarehe 21/05/2021

MAENEO YANAYOATHIRIKA

King'ong'o, Matosa, Kimara Baruti, Kimara B, baadhi ya maeneo ya Temboni, Kibanda cha mkaa, Mbezi, Tegeta A, Baadhi ya maeneo ya Goba, Msumi, Makabe, baadhi ya maeneo ya Stop over, Suka na maeneo ya Jirani.

Hii ni hitilafu ya dharura ambayo imejitokeza kwenye njia yetu ya kusafirisha Umeme hivyo wataalamu wetu tayari wanafanya jitihada za haraka kubaini chanzo na kuhakikisha huduma inarudi kwenye hali yake ya kawaida

KWA HUDUMA ZA DHARURA PIGA SIMU:- 0717379696, 0788379696

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa wateja
TANESCO- Kimara
21/05/2021
Leo ni tarehe 28/05/2021.
Kimara mwisho line ile ile ya dawasco nnayoizungumzia kila mara humu inaexperience jambo lile lile miezi nenda miezi rudi,miaka nenda miaka rudi.

TANESCO hebu angalia frequency ya hizi taarifa zangu za kila wiki humu uone tatizo la kukatika umeme mara kwa mara lilivyo kubwa Kimara mwisho.

Kwanini kwingineko mmeweza kutuliza umeme, Kimara panawashinda nini?!
Hapo juu it was last week i came here complaining ukanijibu hivyo.

Leo nimekuja tena nakueleza Kimara mwisho mlikata umeme asubuhi saa 12 mkarudisha saa 2.Saa hizi jioni hii mmekata tena.

Wewe unayeninibu embu angalia hii feequency ya report zangu za kila wiki humu uniambie ni kwanini Kimara hapaishi tatizo hili.

Mimi nimeamua kukusaidia. Ntaripoti kila mara umeme unavyokatika ili huko makao makuu mjue kinachoendelea Kimara mwisho.
 
TANESCO makao makuu tusaidieni watu wa Kimara.Lazima kuna uzembe unaoendelea haiwezekani tatizo lidumu muda mrefu hivi. Zaidi ya miaka sasa tunaripoti jambo lile lile.

Huenda kuna tatizo la kiufundi linalolazimishwa kuendelea kwa kufanya temporary solutions. Huenda distribution network ya huku kuna kifaa labda transformer,waya wa umeme etc ambayo either imezidiwa au ni mbovu kila tukilalamika mnaichokonoa hiyo hiyo ikikaa sawa inaendelea.

Matokeo yake kila mara inazingua na matengenezo hayaishi. Wanaotaabika ni sisi watumiaji ambao tunaexperience blakouts kila wakati. Nyinyi mnaona sawa mko bize na kazi zenu kuzunguka na magari kutengeneza mavifaa mabovu kila wiki. Hamuoni upande wa pili wa mteja anayekosa huduma endelevu kila wakati.

Umeme kama wa kupima kwa kisoda,mambo ya kizamani kabisa haya! Tatueni tatizo mara moja umeme utulie muda mrefu.Toa hayo mavifaa mabovu funga vitu vipya umeme utulie.
Mnatesa raia kwa huu ujinga.

Ingekuwa tatizo la large scale ningesema labda liko nje ya uwezo wenu lakini tunazungumzia Kimara mwisho daily hivi hamuoni kuwa ni aibu hii?!ni uzembe huu?!😡
 
TANESCO makao makuu tusaidieni watu wa Kimara.Lazima kuna uzembe unaoendelea haiwezekani tatizo lidumu muda mrefu hivi.Zaidi ya miaka sasa tunaripoti jambo lile lile.
Huenda kuna tatizo la kiufundi linalolazimishwa kuendelea kwa kufanya temporary solutions.Huenda distribution network ya huku kuna kifaa labda transformer,waya wa umeme etc ambayo either imezidiwa au ni mbovu kila tukilalamika mnaichokonoa hiyo hiyo ikikaa sawa inaendelea.Matokeo yake kila mara inazingua na matengenezo hayaishi.Wanaotaabika ni sisi watumiaji ambao tunaexperience blakouts kila wakati.Nyinyi mnaona sawa mko bize na kazi zenu kuzunguka na magari kutengeneza mavifaa mabovu kila wiki.Hamuoni upande wa pili wa mteja anayekosa huduma endelevu kila wakati.
Umeme kama wa kupima kwa kisoda,mambo ya kizamani kabisa haya!
Tatueni tatizo mara moja umeme utulie muda mrefu.Toa hayo mavifaa mabovu funga vitu vipya umeme utulie.
Mnatesa raia kwa huu ujinga.Ingekuwa tatizo la large scale ningesema labda liko nje ya uwezo wenu lakini tunazungumzia Kimara mwisho daily hivi hamuoni kuwa ni aibu hii?!ni uzembe huu?![emoji35]
Kuna hatua kadhaa zinachukuliwa ikiwemo kujenga kituo cha kupoza umeme maeneo ya mloganzila ili kuboresha hali ya umeme eneo husika.Tunawaomba uvumilivu wetu wapendwa wateja wetu.
 
Back
Top Bottom