TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Chukua form kwanza tukupimie ndio tukupatie gharama halisi mpendwa mteja wetu
Makadirio ni sh ngapi na huwa mnapima nini? Nataka kujua tu kwanza vitu vitakavyohitajika na garama zake kabla ya kujaza form.
 
NARUDIA KUSEMA TENA TANESCO SASA HIVI MMEKUWA TAKATAKA KABISA....USIKU KUCHA MMEKATA UMEME HUKU KIMARA MPAKA ASUBUHI HII WATU WATU WANATAKA KUJIANDAA HAMNA UMEME.....UNAKERA SANA NYIE WATU😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
Luku yangu nimeomba nibadilishiwe muda mrefu maana ni toleo la zamani zile za ku punch lakini wapi, wanakuja wanapokua wanakagua meter lakini haibadili, sasa imefikia hatua niki punch luku number nilizonunua kuna number button fulani hazikubali.

naona nije huku labda ntapata Masada maana hii luku iliyokubali kuingia ikiisha sina umeme maana kuna nilio nunua kwa hofu imekataa kuingia, NAOMBA MSAADA HARAKA!

Namba yangu 0754844565 nakaa mikocheni
 
Huyu jamaa humu ndani ni kuomba namba ya simu tu..hapigi, hatumi sms, wala ha-beep...mi nimelipia umeme toka mwezi wa nne..leo mwezi wa sita na namba nimemtumia. Mi naona MODS wamfute tu
 
Luku yangu nimeomba nibadilishiwe muda mrefu maana ni toleo la zamani zile za ku punch lakini wapi, wanakuja wanapokua wanakagua meter lakini haibadili, sasa imefikia hatua niki punch luku number nilizonunua kuna number button fulani hazikubali, naona nije huku labda ntapata Masada maana hii luku iliyokubali kuingia ikiisha sina umeme maana kuna nilio nunua kwa hofu imekataa kuingia, NAOMBA MSAADA HARAKA! Namba yangu 0754844565 nakaa mikocheni

Vipi taarifa hazifiki waungwana wa tanesco sasa hii thread mumeweka ya nn kama shida za watu hamfuatilii ??
 
Ununuaji wa umeme Tanesco (kutumia mitandao ya simu) naona system bado haijakaa vizuri.
 
NARUDIA KUSEMA TENA TANESCO SASA HIVI MMEKUWA TAKATAKA KABISA....USIKU KUCHA MMEKATA UMEME HUKU KIMARA MPAKA ASUBUHI HII WATU WATU WANATAKA KUJIANDAA HAMNA UMEME.....UNAKERA SANA NYIE WATU[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Wajinga hawa..nimenunua toka jana mchana hadi sasa token receipt sijatumiwa.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako..
Napenda kuwapongeza Tanesco kwa uamuzi wa busara wa kuona umuhimu wa kuunga umeme mijini na vijijini kwa shilingi 27,000 tu naona watu watajiunga sasa,angalizo mumejiandaa na mafuriko ya wateja? Isijetena hatuna nguzo au nyaya tunazidi kule kule kuwa mwenye nguvu ndiyo anapata umeme.

Je, mafundi wa umeme mnao wa kutosha? Je vifaa vya kutosha mnavyo? Natoa pongezi z kipekee kwa Waziri Kalemani na Mkurugenzi mkuu wa Tanesco kwa kulitambua tatizo hilo
 
Naomba kuuliza! Kuweka system nzima ya luku inagharimu shilingi ngapi! Napoishi tunashare luku tuko wawili ila nataka kuweka ya kwangu pekee yangu! Inagharimu shilingi ngapi mchakato mzima?
 
Ingawa wetu wengi wamejitahidi kujenga majumba mazuri tatizo umeme wa tanesco hauwafikii

Maeneo kama Sawa, Nyashishi, Nyamongoro, Bukaga, Kangae, Ilalila, Kakebe, Kishiri, fumagila kwa kutaja baadhi maeneo hayo wetu wamejenga majumba ya kifahari changamoto ni umeme haupelekwi waziri tunakuomba uishtueshutue tanesco ya mwanza jiji
 
Ingawa wetu wengi wamejitahidi kujenga majumba mazuri tatizo umeme wa tanesco hauwafikii

Maeneo kama Sawa, Nyashishi, Nyamongoro, Bukaga, Kangae, Ilalila, Kakebe, Kishiri, fumagila kwa kutaja baadhi maeneo hayo wetu wamejenga majumba ya kifahari changamoto ni umeme haupelekwi waziri tunakuomba uishtueshutue tanesco ya mwanza jiji
RC Chalamila atawawekea nyote Kesho.
 
Ni jambo la kushangaza sana! Ni kweli kabisa hayo maeneno yamejengeka lakini hakuna umeme. Unaenda vijijini, sehemu nyingine nyaya zinaenda hata umbali wa mita 400 bila kuwepo nyumba, lakini umeme upo. Mwanza nyumba kwenye hayo maeneno, zipo karibu karibu sana lakini umeme hakuna.

Watu walio mbali na Mwanza, wengi wanaamini marehemu aliipendelea Mwanza, lakini ukweli ni kwamba hakuna cha pekee. Barabara za lami ni za kuhesabu. Barabara ya njia moja ni moja tu ya kilometa 4, mitaani barabara nyingi mashimo matupu, umeme maeneo mengi ya pemebezoni mwa jiji, haujapelekwa.
 
Back
Top Bottom