Harafu hua nauliza mara kwa mara hawanijibuNaona hii ni kwa nchi nzima Hawa jamaa wapuuzi sn
Mita ninayo tumia imebadili matumizi kutoka matumizi madogo hadi makubwa yaani napewa Unit chache sana.
Hivyo TANESCO naomba mwongozo wa kubadili matumizi hayo
Oya nimeunganisha umeme Direct kwangu
Kama fidia kwa uzembe wenu mkinikamata nitajua naenda vp kujitetea mahakaman
Heko TANESCO
TANESCO ulisema unafanyia kazi suala la kukatika umeme maeneo ya Kimara mwisho.Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi.Jm
Kwahiyo hakuna option ya kurudisha kama awaliHiyo ndo imeisha mkuu. Ulikosea ununuaji ukanunua mara mbili, Ndo maana imebadili.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Sasa ni saa saba mchana.tangu asubuhi shughuli zote za uchumi zinazotumia umeme zimesimama Kimara mwisho kote na si leo tu.
Wewe unayewasiliana nami kila siku humu kwa takribani miaka miwili sasa utakuwa shahidi wangu.
Kimara mwisho panawashinda nini wazee?kwanini hammalizi tatizo hili Kimara?Mimi nitaendelea kuwa kero humu hadi tatizo liishe.hamuwezi kutuonea kiasi hiki.Kila umeme ukikatika ntaripoti hapa na kwingine nnakokujua mimi hadi hili tatizo la Kimara liwe kubwa kwenu kama lilivyo kubwa kwetu wakazi wa Kimara.Hapo nadhani mtashughulika.
Baada ya masaa mawili kama umeme haujarudi nakuja tena kuandika humu maana sina shughuli ya kufanya now acha tuchati na wewe bwana TANESCO
Usiponiona tena ujue umeme umerudi.
Hapo mpaka uandike barua ndani ya miezi sita utapata majibu.Kwahiyo hakuna option ya kurudisha kama awali
Dah kweli nchi hii tumepigwa kabisaHapo mpaka uandike barua ndani ya miezi sita utapata majibu.
KUNA TATIZO GANI LA UMEME MBEZI BEACH MAKONDE ENEO LA VIWANDA HAKUNA UMEME TANGU ASUBUHI,NAMNA HII KWELI NCHIKaribuni sana JF
Inatagemeana na meneja wa ene na mkadiliaji wa hasara wameamukaje au wana hasara ya sh. Ngapi kwenye eneo lao, ili iwasaidie kuziba mapengo ya upotevu walioufanya. Kifupi tunakujumulishia na vimeo vingine ili unaweza ukawa umetumia unit mia 500 tunakuambia umetumia unit milion zote ili uwe muhujumu uchumi kwelikweli mpaka nchi nzima ijue wewe ndo ulichangia tukachelewa kufika uchumi wakati tunakupeleka mahakamani na eskoti ya magari ya police sita kama kuna sehemu tulipiga hela basi tunakuunganishia humohumoHivi, mtu aki iba umeme tangia labda tokea 2014 na endapo ikiwa ana matumizi ya kawaida anaweza kua amelipelakea shilika hasara kiasi gani?!
(Ni swali tu mfinifikilie vibaya)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wameacha kutujibu sijui Kuna nn au ndo ao waliosimamishwa (Ni mawazo tu)Issue ipo hizi, unapofungiwa umeme wanakuunganisha moja kwa moja kwenye Matumizi makubwa ya Umeme utatumia hivyo kwa miezi 6.
Baada ya hapo unatakiwa uende kwenye Ofisi ya TANESCO ya kwenu ukawaeleze hili, ukifika pale wataangalia kwenye mifumo yao kama utakidhi watakuhamisha,
***********
Tanesco napenda kuuliza hii kitu ni kweli, kwa nini wananchi hawana taarifa au elimu juu ya hili, wangapi tunaendelea kuumizwa kwenye hili bila ya kujua?
Naongea haya kwakuwa nimefungiwa umeme kama week moja iliyopita, zile unit 9 za mkopo (REA) ziliisha ndani ya siku 4 tu kwangu sina matumizi makubwa, just TV na TAA peke yake,
Nikanunua wa elfu kumi nikapewa units 18 nikaambiwa nimekatwa 3,700 nilizokopeshwa,
Juzi naangalia naona zimebaki unit 8 kumi zimeisha kwa siku chache tu nazo.
Shida ni nini? Naomba ufafanuzi na utatuzi juu ya hili