Asee venezuela kiboko
 
Mimi nimefanikiwa kununua ila ndo haikubali kuingia.
TANESCO pambav zenu, nina kazi muhimu ya kufanya
 
Mimi nimefanikiwa kununua ila ndo haikubali kuingia.
TANESCO pambav zenu, nina kazi muhimu ya kufanya
Ni nani anahujumu Tanesco? Kule Kinyerezi wamelalamikia waya za umeme zipo mita moja toka ardhini
 
TANESCO hiyo hitilafu haijaisha tangu ijumaa?
Leo asubuhi mmekata umeme Kimara ile ya upande wa bonyokwa na mchana huu mmekata umeme Kimara mwisho yote.

Mimi sitachoka naendelea kukupa taarifa uone tatizo la Kimara lilivyo kubwa. Hazipiti siku mbili lazima uonione humu nalalamika.

Hii ndio hali halisi Kimara.
Kwa hiyo hizo dharura haziishi miezi nenda miezi rudi? mmeshindwa kudhibiti dharura za mara kwa mara?Then why are you there in the first place?
 
Huu mshirikia umekuwa waKIPUMBAVU SANA SANA....yaani kila siku nyie VIAZI lazima mkatekate umeme huku KIMARA.....mnakera sana takataka nyie,LUKU TABU UMEME NAO WAKUPIMAPIMA.....JUMAPILI YOTE HII MNAKATA UMEME HATA BILA TAARIFA TAKATAKA KABISA NYIE😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
Siku ya Leo mmenitesa Sana na mmenilaza njaa! Yaani nimenunua token za sh. 100000/= kupitia account ya nmb nikazipata.

Kuangalia salio nakuta mmekata sh. 100000/= nyingine bila Mimi kucommand na token na sms hamkurudisha Hadi nilipowapigia nmb wakanirejesha kwenu na ninyi mkakiri kukata hiyo pesa Mara mbili na kunitumia token zinginezo ambazo sikuzihitaji!

Hii tabia ya watu wenu wa IT kuzama kwenye account za watu na kulazimisha kununua umeme ambao mteja hakuuhitaji siyo sawa. What if Kama kwenye account kungekuwa hakuna pesa, mngefanya the same kunipa token hizo?

Kweli nimekwazika mno na kwa kuwasina la kuwafanya Basi sawa! Na Kama mfumo wenu wa luku unaiba kwenye account za wateja Basi toeni taarifa!
 
Hapa huku tunashindwa kununua luku sijui tanesco wanamalengo gani hata kama sisi wanyonge ndo mtutese hvyo mnakelaaaa sana sijui mnakaa maofisini mkisubr mishahara ya bule wakati hamfanyi kazi hebu jitafakalini na waziri mwenye dhamana na hili swala sijui anatuwazia nn siwaelewi kabisa
 
Jioni ya leo imekuwa ngumu sana kununua Umeme kupitia mitandao ya simu.
Swali kwa TANESCO
Je tatizo lile la wiki iliyopita limerudi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…