ivi nyie tanesco washenziiii.sanaaaa nimenunua umeme kwa halopesaa helaaa mmekataa na umeme hamjanipaaaa....
 
Na tuliofanikiwa kununua luku mchana Cha Moto tumekiona. Yaani mfumo wa luku unakata Makati Mara mbili ilihali mtu umecommand Mara moja.
Nimenunua token za laki moja through nmb na nizipata.

Ile kuchungulia salio nakuta laki haipo. Nikatafuta bank balance nimpate mwizi nikakutana na tanesco wameikata hiyo laki ambayo ilikuwa kwenye account bila ridhaa yangu. Nikawapigia nmb wakanielekeza tanesco. Nikawapigia wakajitetetea kuwa Nina Deni na nkawakatalia Kisha wakadai mfumo umeovertook.

Wamekataa kunirejeshea fedha. Baada ya kulalamikia nmb kwa kukosa umakini wakafight eti kuniletea token ambazo sikuzinunua kwa hiyari! Chukueni tahadhari kwani Kuna sintofahamu Kati ya watoa huduma za mitandao na tanesco wanazama kwenye account za watu na kulazimisha manunuzi ambayo hujayafanya ili mradi ukifanya muamala wa kwanza Basi mwingine eti unajifanyia automatic!

Huu haina tofauti na ukabaki wa vibaka! Nimewauliza what if account isingekuwa na fedha huo mfumo ungenikopesha? Yakanikatia simu! Sijapenda na hii sio sawa tanesco badilikeni!
 
Nimenunua umeme kupitia mitandao mitatu tofauti yote imeishia kukata fedha yangu bila kupata tokeni.

Kwanini tatizo haliishi?
 
Na kukata kata sana umeme wameongeza kasi, tushaanza kujuta kuwafahamu hawa TaNesico
 
Mm narudia Tena kusema mama akiendelea kucheka na KIMA atavuna mabua Magu mm nilikuwa simpend lakn jamaa alikuwa na voice of command ambayo akitamka Mara moja tu had mbweha aliyeko serenget national park anakunja mkia matakoni

Kama SASHA ataendelea hv shaur yake watu tupo nyuma yake kumtetea yeye anatuangusha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Tecno si zinakaa na chaji sana?
 
Achana na Magufuli wewe... yule alikuwa chuma cha pua.

Akizungumza unaona kweli Rais amezungumza na anazungumza kwa mamlaka.

Sasa huyu SASHA na uzenji wake ule.... mhuuuu JK part II yule....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ulipoambiwa tatizo ni wiring ulipofanya kuaguzi ulipata hati ya ukaguzi ( electrical installation inspection certificate))
Kwani you change or ni ileile au unataka kuweka nyengine ziwe mbili
 
Tanesco ni janga sanaa,hapa mbezi makonde viwandani kila leo umeme ni shida leo tangu asubuhi hatufanyi kazi hamna umeme,tatizo nini?nchi hii lini umeme hautakatika?jamani jamani shida sana na hivi mwenye nchi kalala waliobaki hawajali lolote
 
Mimi nafikir mngeweka utaratibu kama wa mitandao ya simu maana kunamuda tukinnunua umeme kwa njia ya simu mnakuwa mnachelewesha sana kuleta token
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…