FRED MAGANGA
Member
- Mar 12, 2018
- 51
- 47
INBOX KWA VIPI,SIJUI.Tutumie hizo taarifa hata inbox tafadhali
Asante kwa huduma. BarikiwaUnaongeza 2000 kwa mwezi wa saba na na wa nane lakini kuanzia mwezi wa tisa ongeza 1000 tu
Unashauriwa kufika ofisini na umeme husika ili ujaze form kwani umeme ni fedha na ubakiki wake ni mihimu sanaHabari, nimekosea Kufanya malipo ya umeme kwahiyo nimenunua umeme kwa mita nyingine tofauti na mita yangu.
Namba ya mita niliyokosea; 24210039582
Namba ya mita sahihi; 24210059382
Gharama; 1,900
Namba ya simu iliyotumika kununua umeme; 0625 603326
Eneo;Mabibo
Mtaa; Gereji
Asante sana.Unashauriwa kufika ofisini na umeme husika ili ujaze form kwani umeme ni fedha na ubakiki wake ni mihimu sana
Mbona bado hujanijibu swali langu, hakuna namna nyengine ya kuingiza umeme kwenye luku machine kama hauna kifaa cha kuwekea?Unapaswa kupata loss report uandike na barua kwenda kwa meneha wa eneo lako
Majibu ya swali hapo juu tafadhali.TANESCO na TRA.
Mtuweke sawa wananchi kwenye hili la kulipia majengokupitia manunuzi ya luku ili lisiumize wengine.
Niteoe mfano wangu binafsi,
Jengo langu nina Mita za luku 4 moja jkiwa kwenye Jango dogs la vyumba 2 vilivyoanza kutumika awali kabla kujenga
Swali nitalipia kila mita Tsh 1000/= ninunuapo umeme!!
Kitu ambacho kitafanya kulipia zaidi?
Ndugu mpendwa Mteja wetuNaomba nijue namba ya waziri wa nishati nimwambie kilio changu cha kuteswa na Tanesco Mwanga kilimanjaro
Leo tarehe 27Ni tarehe ngapi? Tunaona wa bei tofauti na huo
0381-2410-7912-7162-4185TANESCO nasubiri hiyo token,umeme nimenunua leo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nimenunua umeme kwenye mita 54182884772 sijapata token bado
Kiasi ni 1950 kwa Airtel money
Namba ya wakala ni 0688870704
Namba ya mteja 0685586997
Nimeambiwa niongee na nyie
Token nitumieni kwenye namba hii 0688870704 au wekeni hapa niicopy
Asanteni0381-2410-7912-7162-4185