TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari, nimekosea Kufanya malipo ya umeme kwahiyo nimenunua umeme kwa mita nyingine tofauti na mita yangu.

Namba ya mita niliyokosea; 24210039582
Namba ya mita sahihi; 24210059382
Gharama; 1,900
Namba ya simu iliyotumika kununua umeme; 0625 603326
Eneo;Mabibo
Mtaa; Gereji
 
Unashauriwa kufika ofisini na umeme husika ili ujaze form kwani umeme ni fedha na ubakiki wake ni mihimu sana
 
TANESCO na TRA.
Mtuweke sawa wananchi kwenye hili la kulipia majengokupitia manunuzi ya luku ili lisiumize wengine.
Niteoe mfano wangu binafsi,
Jengo langu nina Mita za luku 4 moja jkiwa kwenye Jango dogs la vyumba 2 vilivyoanza kutumika awali kabla kujenga
Swali nitalipia kila mita Tsh 1000/= ninunuapo umeme!!
Kitu ambacho kitafanya kulipia zaidi?
Majibu ya swali hapo juu tafadhali.
Nina mita za luku 3 kwenye jengo moja. Nalipaje.??
 
Naomba nijue namba ya waziri wa nishati nimwambie kilio changu cha kuteswa na Tanesco Mwanga kilimanjaro
 
Naomba nijue namba ya waziri wa nishati nimwambie kilio changu cha kuteswa na Tanesco Mwanga kilimanjaro
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Kuna tatizo gani la umeme kukatika mara kwa mara baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Kinondoni hasa Sinza?
 
Nimenunua umeme kwenye mita 54182884772 sijapata token bado
Kiasi ni 1950 kwa Airtel money
Namba ya wakala ni 0688870704
Namba ya mteja 0685586997
Nimeambiwa niongee na nyie
 
Nimenunua umeme kwenye mita 54182884772 sijapata token bado
Kiasi ni 1950 kwa Airtel money
Namba ya wakala ni 0688870704
Namba ya mteja 0685586997
Nimeambiwa niongee na nyie
Ni tarehe ngapi? Tunaona wa bei tofauti na huo
 
TANESCO nasubiri hiyo token,umeme nimenunua leo
👇👇👇👇
Nimenunua umeme kwenye mita 54182884772 sijapata token bado
Kiasi ni 1950 kwa Airtel money
Namba ya wakala ni 0688870704
Namba ya mteja 0685586997
Nimeambiwa niongee na nyie
Token nitumieni kwenye namba hii 0688870704 au wekeni hapa niicopy
 
TANESCO nasubiri hiyo token,umeme nimenunua leo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nimenunua umeme kwenye mita 54182884772 sijapata token bado
Kiasi ni 1950 kwa Airtel money
Namba ya wakala ni 0688870704
Namba ya mteja 0685586997
Nimeambiwa niongee na nyie
Token nitumieni kwenye namba hii 0688870704 au wekeni hapa niicopy
0381-2410-7912-7162-4185
 
TANESCO. Hamjanijibu awali langu. Vigezo gani mnatumia kumtoa mteja toka D1 kwenda T1?
 
Kuna tatizo gani Kingorwila - Morogoro siku 5 mfululizo tangu tarehe 23 August, 2021 hakuna umeme hadi muda huu umeme bado haujarudi?
 
Hivi ili uunganishiwe umeme kwa haraka ni mpaka ipige kwa waziri?
Maana hata mimi nimesita sana
Sijapata umeme
 
Back
Top Bottom