Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco mbona ile hali ya kukatika mara kwa mara ya umeme tena kwa muda mrefu imeanza kurudi na tulikwisha isahau? Muna kwama wapi sasahivi ambapo Mwaka jana au Mwanzo wa Mwaka huu muliweza?
Tunashindwa kufanya kazi zetu sababu ya kukosa umeme , biashara hazifanyiki , watu hawasomi nk
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi kwa nini TANESCO Lushoto hawavihudumi ipasavyo vijiji vya Mlalo hasa vilivyopo nyanda za chini tambalale kama Mng'aro, Mzinde, Lunguza nk kwa kuwapatia huduma hii kwa wakati? Shida ni nini?
Maeneo nimeyataja, wilaya nimeitaja, mawasiliano ndiyo haya, tatizo wanasema nguzo, ni kitambo sana. Ahsante kwa ushirikiano wako.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Maeneo nimeyataja, wilaya nimeitaja, mawasiliano ndiyo haya, tatizo wanasema nguzo, ni kitambo sana. Ahsante kwa ushirikiano wako.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidiTafadhali Tanesco tukumbukeni angalieni na sisi wanyonge. Mimi nimelipia tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo bado kimya , Juzi ilishushwa nguzo hapa jirani nikajua ya kwangu leo imebebwa amekewa jirani. Inauma
Jina - Evalyne Jonathan Kizwili
Wilaya -Kinondoni
Kata- Kunduchi
Eneo - Mecco mji mpya
Simu - 0713483704
Asanteni
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidiTANESCO hivi mnafanya kitu gani hiki Kimara mwisho?
Kwanini hamsemi kama kuna lolote mnalofanya?!
Hii wiki yote kila siku ni lazima mkate umeme si chini ya saa nzima na mida ni ile ile.
Mnatuharibia kazi sana.Hivi ni mlipa kodi gani anayeweza kuvumilia upuuzi huu?!
Tunawalipa hela za nini?mnatukata kodi za nini?!Haya maluku yenu tumeyaweka ya nini,urembo?!
Mambo kama haya ndio yanawapa watu sababu ya kukwepa kodi.We see no difference kati ya kuwa raia wema na wabaya.!
Endeleeni,mda si mrefu ntakaa kimya sababu ntakuwa na solutions nyingine.sisi wananchi mmoja mmoja tutatafuta solutions za kutufaa.
Maisha ya kubembelezana yashapitwa na wakati.
Endeleeni kukata umeme!
Kila siku unanijibu hivi hivi and nothing changes,niko humu muda mrefu nalalamika tuu, very frustrating!Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Mnatujibu hapa mmepokea taarifa na mnazifanyia kazi lakini hamtuletei mrejesho mnatufanya kila siku tunaleta malalamiko hapa kwanini msitupe majibu hapa hapa kwamba matatizo yetu yamefikia wapi.Tumuiona ya Boko Cha Simba, tunaifanyia kazi tafadhali
Ndugu mpendwa Mteja wetuMnatujibu hapa mmepokea taarifa na mnazifanyia kazi lakini hamtuletei mrejesho mnatufanya kila siku tunaleta malalamiko hapa kwanini msitupe majibu hapa hapa kwamba matatizo yetu yamefikia wapi.
Zahoro KomboNdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Ahsante kwa taarifaZahoro Kombo
Eneo
Tegeta Boko chasimba
Wilaya
Kinondoni
Namba ya simu
0785839010
Tatizo
Tumelipia umeme toka tarehe 02 mwezi wa 7 ila mpaka leo hatujafungiwa kila mara tunaambiwa wiki wiki hii mara waya zimeisha mara mita zimeisha, nimesharipoti pia hapa ilà mnajibu tu mnafuatilia badala ya kutueleza ni lini labda pengine tutafungiwa huo umeme.
😂😂haya TANESCO mie niko na wewe kila siku hapa nikuonyeshe tatizo la Kimara lilivyo kubwa.Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco Temeke hawaoneshi ushirikiano. Wamepigiwa simu toka saa 7 kwamba kuna tatizo la umeme Vetenary. Mpaka sasa saa 12 hakuna cha fundi yeyote aliyefika hapa, na hiyo simu ikipigwa sasahivi haipokelewi.
Ni vyema wakawa wawazi na changamoto zinazowakwamisha kuliko kukaa kimya.