TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tanesco mbona ile hali ya kukatika mara kwa mara ya umeme tena kwa muda mrefu imeanza kurudi na tulikwisha isahau? Muna kwama wapi sasahivi ambapo Mwaka jana au Mwanzo wa Mwaka huu muliweza?

Tunashindwa kufanya kazi zetu sababu ya kukosa umeme , biashara hazifanyiki , watu hawasomi nk
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Hivi kwa nini TANESCO Lushoto hawavihudumi ipasavyo vijiji vya Mlalo hasa vilivyopo nyanda za chini tambalale kama Mng'aro, Mzinde, Lunguza nk kwa kuwapatia huduma hii kwa wakati? Shida ni nini?
 
Maeneo nimeyataja, wilaya nimeitaja, mawasiliano ndiyo haya, tatizo wanasema nguzo, ni kitambo sana. Ahsante kwa ushirikiano wako.
 
Tafadhali Tanesco tukumbukeni angalieni na sisi wanyonge. Mimi nimelipia tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo bado kimya , Juzi ilishushwa nguzo hapa jirani nikajua ya kwangu leo imebebwa amekewa jirani. Inauma
Jina - Evalyne Jonathan Kizwili

Wilaya -Kinondoni

Kata- Kunduchi

Eneo - Mecco mji mpya

Simu - 0713483704

Asanteni
 
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
 
TANESCO

Nimesikia kuna scheme ya kuwapa unafuu watu ambao hawafikishi units 75 kwa mwezi kwa miezi mitatu ya nyuma.

Tafadhali ninahitaji ufafanuzi.
 
TANESCO hivi mnafanya kitu gani hiki Kimara mwisho?

Kwanini hamsemi kama kuna lolote mnalofanya? Hii wiki yote kila siku ni lazima mkate umeme si chini ya saa nzima na mida ni ile ile.

Mnatuharibia kazi sana.Hivi ni mlipa kodi gani anayeweza kuvumilia upuuzi huu?

Tunawalipa hela za nini?mnatukata kodi za nini? Haya maluku yenu tumeyaweka ya nini, urembo?

Mambo kama haya ndio yanawapa watu sababu ya kukwepa kodi.We see no difference kati ya kuwa raia wema na wabaya.!

Endeleeni,mda si mrefu ntakaa kimya sababu ntakuwa na solutions nyingine sisi wananchi mmoja mmoja tutatafuta solutions za kutufaa.

Maisha ya kubembelezana yashapitwa na wakati. Endeleeni kukata umeme!
 
TANESCO hivi mnafanya kitu gani hiki Kimara mwisho?
Kwanini hamsemi kama kuna lolote mnalofanya?!
Hii wiki yote kila siku ni lazima mkate umeme si chini ya saa nzima na mida ni ile ile.
Mnatuharibia kazi sana.Hivi ni mlipa kodi gani anayeweza kuvumilia upuuzi huu?!
Tunawalipa hela za nini?mnatukata kodi za nini?!Haya maluku yenu tumeyaweka ya nini,urembo?!
Mambo kama haya ndio yanawapa watu sababu ya kukwepa kodi.We see no difference kati ya kuwa raia wema na wabaya.!
Endeleeni,mda si mrefu ntakaa kimya sababu ntakuwa na solutions nyingine.sisi wananchi mmoja mmoja tutatafuta solutions za kutufaa.
Maisha ya kubembelezana yashapitwa na wakati.
Endeleeni kukata umeme!
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Kila siku unanijibu hivi hivi and nothing changes,niko humu muda mrefu nalalamika tuu, very frustrating!
Mbona kwingineko umeme umetulia?

sisi wa huku ndio hamtaki kutuhudumia?!kama kuna mitambo inasumbua kwanini mnaibembeleza hiyo hiyo daily?kila siku ni kata..kata..kata.!mpka inafika mahali mtu unajiuliza why did i invest?!you are really frustrating us you guys.Im very angry!mnaudhi sana!kila siku kulalamikiana tu humu,si mtengeneze umeme utulie kila mtu afanye mambo yake?!mnapata faida gani kukata umeme?!si mnapata hasara kama sisi tu?!au kwa kuwa hasara ni ya kimfumo you wont feel it individually so you are not responsible enough?

you dont care sababu mwisho wa mwezi mna mishahara sio?!
Hebu tatueni hili tatizo la kukatika umeme mara kwa mara Kimara nyinyi watu!😡
 
Tumuiona ya Boko Cha Simba, tunaifanyia kazi tafadhali
Mnatujibu hapa mmepokea taarifa na mnazifanyia kazi lakini hamtuletei mrejesho mnatufanya kila siku tunaleta malalamiko hapa kwanini msitupe majibu hapa hapa kwamba matatizo yetu yamefikia wapi.
 
Mnatujibu hapa mmepokea taarifa na mnazifanyia kazi lakini hamtuletei mrejesho mnatufanya kila siku tunaleta malalamiko hapa kwanini msitupe majibu hapa hapa kwamba matatizo yetu yamefikia wapi.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Zahoro Kombo

Eneo
Tegeta Boko chasimba
Wilaya
Kinondoni
Namba ya simu
0785839010
Tatizo
Tumelipia umeme toka tarehe 02 mwezi wa 7 ila mpaka leo hatujafungiwa kila mara tunaambiwa wiki wiki hii mara waya zimeisha mara mita zimeisha, nimesharipoti pia hapa ilà mnajibu tu mnafuatilia badala ya kutueleza ni lini labda pengine tutafungiwa huo umeme.
 
Ahsante kwa taarifa
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi
😂😂haya TANESCO mie niko na wewe kila siku hapa nikuonyeshe tatizo la Kimara lilivyo kubwa.
Haya nambie mwenzangu na leo kuna hitilafu gani?umeme ushakatwa masaa mawili sasa Kimara mwisho.
Nakupa taarifa uone kinachoendelea Kimara.

Hii mara ya ngapi unaniona humu?!ni daily yaani! Now you know ukubwa wa tatizo letu.

Hebu nambie kuna nini kwani?kwa sababu huwezi sema hitilafu.Hizi hitilafu ni kila siku wiki ya tatu sasa?🤔
 
Tanesco kama hamtaki hii elfu 27mseme wazi sisi wahitaji wa umeme haraka tunaweza kulipa zaidi ya hyo maana ninaenda mwezi wa pili toka nilipie ila hakuna cha nguzo wala lolote.
 
Tanesco Temeke hawaoneshi ushirikiano. Wamepigiwa simu toka saa 7 kwamba kuna tatizo la umeme Vetenary. Mpaka sasa saa 12 hakuna cha fundi yeyote aliyefika hapa, na hiyo simu ikipigwa sasahivi haipokelewi.

Ni vyema wakawa wawazi na changamoto zinazowakwamisha kuliko kukaa kimya.
 
Tanesco Temeke hawaoneshi ushirikiano. Wamepigiwa simu toka saa 7 kwamba kuna tatizo la umeme Vetenary. Mpaka sasa saa 12 hakuna cha fundi yeyote aliyefika hapa, na hiyo simu ikipigwa sasahivi haipokelewi.
Ni vyema wakawa wawazi na changamoto zinazowakwamisha kuliko kukaa kimya.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo
Namba ya taarifa
Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Back
Top Bottom