sabuni ya gesi
Member
- Dec 4, 2019
- 48
- 45
Wilaya ya BUTIAMA, KATA YA BUSEGWE, eneo la Busegwe tatizo transformer iliharibika tangu tarehe 9/9/2021. Taarifa hiyo ni kamili, taarifa zipi zaidi unahitaji?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Makato ya pango ni kwa kila mtanzania au ni kwa wale wenye majumba. Mimi ni mpangaji. Niliomba separation kujiondoa kwenye kero la kulipishana umeme zaidi ya matumizi yangu.ndugu mteja,
nunua umeme wa zaidi ya 2000 kwa ajili ya makato ya kodi ya pango
Kiwango cha malipo hayo ya pango ni shilingi ngapi kwa mwezi?Kodi za majengoView attachment 1901355View attachment 1901356
Ndugu mpendwa Mteja wetuMeter nimelipia toka tarehe 23-04-2021...leo tarehe 18-09-2021...sijafungiwa umeme alafu mnaona kawaida tu, sihitaji nguzo maana nguzo ipo hapohapo uwanjani kwangu...
Nikaenda kuomba nyingine maana ile ilikuwa na visingizio vingi, nikafata taratibu, nikalipia toka tarehe 23-08-2021...bado giza tu...
Makamba yupo humu apitie changamoto hizi aone jinsi wateja tunavyotaabika kupata huo umeme
Nimeshatuma sana PM taarifa...Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Siku za starehe ndo wanajua kukata umeme ili umuhimu was taaluma zao zionekane ,wanaboa sana hawa watu
Ndugu mpendwa Mteja wetuAu tupo kwenye mgao wa kimya kimya ? maana hii nchi tangu mwenda zake afariki chochote kinawezekana sasa hivi , Tanesco unakata umeme asubuhi mpaka saa 1 jioni bila hata taarifa , nchi ngumu sana hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja