Mimi Nina shida na umeme lakini BEI IPO juu sana na nguzo IPO njee kwangu wala pia aifiki mita kumi naombeni majibu inakuwaje hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
mteja anashukuru mchana wa leo nguzo imebadilishwa.Attention Tanesco kisarawe
nguzo ipo katika imeoza haifai ipo majohe bwera karibu na shule ya merlyin uliza kwa ostadh jina la mtoa taarifa Mika Shimba 0621725755
mjinga hajijui
Pamoja mkuu, hamna hata picha asee?mteja anashukuru mchana wa leo nguzo imebadilishwa.
Pamoja tujenge Tanesco yenye ufanisi
mjinga hajijui
Tunaomba namba yako ya simu,je uliomba umeme wewe .?Samahani mkuu naomba kujua hapa kwangu uwani kuna nguzo yenu ina mwaka na nusu kwa sasa hamna waya inesimamishwa tu.sasa sijajua kama shida inakuwa wapi.
Kijiji cha Kwekitui
Wilaya ya Lushoto
Mkoa Tanga
Kitongoji kinaitwa kwendauli.takribannguzo tisa zimebaki bila waya na hatujui mradi umeisha au laah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaomba kujua nyumba ipo wapi mkoa na wilaya yako bila kusaau namba yako ya simu na leo hii umeme utawakaTanesco mmekuwa wababaishaji sana! Baada ya kufuatilia kufungiwa umeme kwa muda mrefu hatimae nilifungiwa lakini cha ajabu toka nilipofungiwa umeme haujawaka Na kila nikipiga cm kutoa taarifa naambiwa inaonekana mita haijasajiliwa Na naahidiwa kwamba itasajiliwa lakini cha ajabu mpaka Leo toka mwezi wa nane nazungushwa tu!
asante kwa respond yako nimeenda katika ofisi zenu na tayari nimesharesolve tatizo languMita inaweza kutemper endapo unakosea kuweka umeme au kuingiza token zisizo au yenyewe inaweza kujitemper, hatua za kutatua mita itakapotemper ni mpaka wataalamu wetu wafike eneo lako kujua chanzo cha temper ni nin? Mita imechezewa au imejichezea,
Kwa swala lako je nini kinakusibu,? Mita ukiingiza umeme inaonyesha nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo ganiTanesco Mwanza toka juzi mnamatatizo gani lakini?maana umeme hautulii umewaka...umekatika!kwanini hamtoi taarifa mapema?na kama mmeamua kukata kateni mkimaliza mambo yenu ndipo mrudishe sio kutufanyia kama disco light,mnatuunguzia vifaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mpendwa mtejaTANESCO pia mnatoa ushauri.
hebu naomba ushauri, mimi fundi.
elimu yangu kudato cha nne
fani yangu ni fundi umeme.
kila nikiimba kazi tanesco sioni mafanikio. angalau kibarua lakini hakuna kitu.
nikituma barua siitwi mwaka wa tatu sasa. nikingia katika miradi ya rea umeme vijijini nafanya kwa muda mfupi tu haizidi miezi mitatu mara mradi umesimama, cv hawatoi hebu naomba ushauri jaamani hali mbaya sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidie namba ya simu ya muwakilishinwa kampuni na eneo ambapo ipo tumsikilize mteja wetumsaada ea haraaka.
mimi fundi umeme nimefanya wayaring ya umeme kampuni moja.
sasa wananilalamikia mimi kuhusu suala la nguzo kuhamisha. swala hili halinihusu hata kidogo.
sasa hawa jamaa wanalalamika kuhamishiwa nguzo hiyo maana waya umegusa paa.
niliwashauri waende tanesco, wamefanya taratibu zote za kulipia mafundi tayari wameshapanda nguzo nyingine ila TATIZO NI mpaka sasa hawajaja kuhamisha waya. TANESCO msaada jamaa wanalalamika sana.
KAMPUNI--zanziba.
MAHALI---mlandizi karibu na kituo cha mabasi
MKOA--pwani
WILAYA--kibaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio tunaifanyia kazi tunaweza kupata namba yako ya simuView attachment 582663 Naomba kujuzwa. Hivi hii ni Salama. Nimeona mbalizi mbeya
Habari mkuu! Leo ni siku ya Pili wakazi wa wilaya ya HAI-Kilimanjaro.TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.
NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA
1.ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2.NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3.KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)
7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI
(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)
TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.
ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba namba yako ili tufatilieHabari mkuu! Leo ni siku ya Pili wakazi wa wilaya ya HAI-Kilimanjaro.
Kitongoji cha WARI hatuna umeme tupo gizani na hakuna maelezo yoyote juu ya suala hili la kukaa bila umeme!
Tunaomba mtusaidie