Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Na Kama ikifahamika inamatatizo. Mfano inasoma Umeme zaidi. Je kiwango kilichozidi kinaweza kurudishwa au ndio hasara yanguAsante mkuu,
Kama umehakikisha kila kitu kipo sawa, unafika ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe nankuomba huduma ya ukaguzi wa mita au METER TEST huduma hii baada ya kuomba unalipia kiasi kidogo sana shilingi 3000 tu. Baada ya hapo mafundi watafika kwenye nyumba yako na kuikagua mita hio kamaninakula umeme sawa sawa au kimakosa.
Kama mita ni tatizo TANESCO tutakujulisha kwa barua na kuchukua hatua mara moja ya kuibadilisha mkuu.
Je nyumba ipo wapi mkuu
TANESCO "Tunayaangaza maisha"