TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
- #981
Mkuu unaweza kupita page ya 94....Kuna member humu alileta uzi kwamba Tanesco baada ya kushindwa kupeleka umeme sehemu aliyojenga, alishauriwa anunue genereta iliyogharimu 6.5m , sasa anasema Tanesco wameifanya yao na hawataki kum refund gharama zake, na pia wanataka kuwaunganisha wateja wengine hata bila kumshirikisha. Hili likoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO "Tunayaangaza maisha"