TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
....Kuna member humu alileta uzi kwamba Tanesco baada ya kushindwa kupeleka umeme sehemu aliyojenga, alishauriwa anunue genereta iliyogharimu 6.5m , sasa anasema Tanesco wameifanya yao na hawataki kum refund gharama zake, na pia wanataka kuwaunganisha wateja wengine hata bila kumshirikisha. Hili likoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kupita page ya 94

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Kinachoangaliwa ni umilili yaani ownership je ni mali yako au yetu.aidha mara nyingi mtu analipia transfomer linalomuhudumia

Sent using Jamii Forums mobile app
....Vipi kuhusu pale mteja anapoingia gharama kubwa ya kununua nguzo nyingi ili kupata umeme,halafu baadae wengine wanaofuata wanaunganishiwa at low costs?

Kwa nini kusiwe na uraratibu wa new customers kumchangia huyu mteja wa kwanza ili gharama zake zipungue kidogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....Vipi kuhusu pale mteja anapoingia gharama kubwa ya kununua nguzo nyingi ili kupata umeme,halafu baadae wengine wanaofuata wanaunganishiwa at low costs? Kwa nini kusiwe na uraratibu wa new customers kumchangia huyu mteja wa kwanza ili gharama zake zipungue kidogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Page namba 94 ujumbe/post namba 938 imefafanua vyema mkuu

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
TANESCO MOROGORO:

TRANSPOTER OFFICER NA MA VEHICLE INSPECTOR WALITUFELISHA WATU WOTE TULIOENDA KUFANYA INTERVIEW..MWEZ JUNE KUMBE WANA WATU WAO.
HII TABIA IKOMESHWE HARAKA.
MIONGONI MWA WALIOPATA KAZI NI MDOGO WAKE VEHICLE INSPECTOR AMEPATA KAZI BILA HATA KUOMBA KAZI.
HII TAMBIA INALIDHALILISHA SHIRIKA LA TANESCO MOROGORO.
TAARIFA IKUFIKIE HR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ndio msemaji wa tanesco nawashauri watafute mtu mwingine au waongeze Watu wengine zaidi kuja kukusaidia,haiwezekani unaulizwa maswali haujibu, ukija tu unatoa taarifa tu kisha unajibu maswali unayoulizwa baada ya kuja ya nyuma yote unayaacha ina maana haujui swali la mwisho kuulizwa ni Lipi na yapi hujayajibu?

Kama wewe ndio msemaji pitia page jibu maswali ya wadau kama hauwezi bora uwaombe mods wafute huu uzi usiwepo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi malalamiko yangu juu ya umeme ninao nunua wa shilingi elf kumi napata unit 26 na matumizi yangu ni ya kawaida lkn wengine hiyo hiyo elf kumi wanapata zaidi na ya unit 26 na nikipeleka maombi ya kubadilishwa tarifu lkn ombi langu nikambiwa linafanyiwa kazi lkn mpaka leo kimya kunanini

Tunalipia umeme kama tunafanya biashara wakati ni matumizi ya nyumbani tena ya kawaida sana elf kumi unit 26

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO MOROGORO:

TRANSPOTER OFFICER NA MA VEHICLE INSPECTOR WALITUFELISHA WATU WOTE TULIOENDA KUFANYA INTERVIEW..MWEZ JUNE KUMBE WANA WATU WAO.
HII TABIA IKOMESHWE HARAKA.
MIONGONI MWA WALIOPATA KAZI NI MDOGO WAKE VEHICLE INSPECTOR AMEPATA KAZI BILA HATA KUOMBA KAZI.
HII TAMBIA INALIDHALILISHA SHIRIKA LA TANESCO MOROGORO.
TAARIFA IKUFIKIE HR.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeipokea mkuu kwa hatua zaidi

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
nauliza wakuu wetu kama kuna jinsi ambayo huku mtaani kwetu tunaweza kujua kila mmoja anatumia kiasi gani cha umeme. Badala ya kulipa flat watu walipe kulingana na matumizi.
Mfano sehemu ya biashara kuna muuza duka, kuna mtu wa bucha, saloon, mgahawa na muuza vipodozi ambae anatumia taa tu.
wote wanatumia luku moja.

msaada please
 
TANESCO MOROGORO:

TRANSPOTER OFFICER NA MA VEHICLE INSPECTOR WALITUFELISHA WATU WOTE TULIOENDA KUFANYA INTERVIEW..MWEZ JUNE KUMBE WANA WATU WAO.
HII TABIA IKOMESHWE HARAKA.
MIONGONI MWA WALIOPATA KAZI NI MDOGO WAKE VEHICLE INSPECTOR AMEPATA KAZI BILA HATA KUOMBA KAZI.
HII TAMBIA INALIDHALILISHA SHIRIKA LA TANESCO MOROGORO.
TAARIFA IKUFIKIE HR.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupatie taarifa zaidi inbox ya jina lamunayedhani amepata bila kuomba, waliomba na sifa zao kisha tutakupatia ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO naomba uniangalizie matumizi ya mita yangu kama inafaa kuingizwa kwenye daraja la 10000 kwa mwezi

01343377394
 
Attention Tanesco kisarawe
nguzo ipo katika imeoza haifai ipo majohe bwera karibu na shule ya merlyin uliza kwa ostadh jina la mtoa taarifa Mika Shimba 0621725755
1be863c590dcc7c2d55aef4a5867ee53.jpg
aef921487211fa2077b50f7124ee628a.jpg
ba7ed21acd0869689797c804dee3bd36.jpg
13e136a889bf7e138cb1a76f1da50706.jpg

mjinga hajijui
 
Tumepokea kwa utekelezaji

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
TANESCO naomba uniangalizie matumizi ya mita yangu kama inafaa kuingizwa kwenye daraja la 10000 kwa mwezi

01343377394
Sio daraja la 10000 ni 9150,

Tunakuangalizia mkuu

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
TANESCO naomba uniangalizie matumizi ya mita yangu kama inafaa kuingizwa kwenye daraja la 10000 kwa mwezi

01343377394
Matumizi yako makubwa sananuwezi kuwa mteja mdogo, angalia wastani wa unit kwa mwezi ni 150 kigezo kikuu ni unit chini ya 75
67224840343086d9c9bd41d435d03db2.jpg

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
ATTENTION TANESCO KISARAWE
Nguzo imeoza waya ziko chini sana hatari
Majohe Bwera nyuma ya shule ya Merlyin uliza kwa Manyala
Mtoa taarifa Manyala 0652 658722
97f2ee9c8764e6f3c395a91c617b1c7a.jpg
beb121f73352030b67b11e4dc8995cbe.jpg
0650181ddeca81a710881f76d04ead58.jpg

mjinga hajijui
 
Back
Top Bottom