TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mimi Nina shida na umeme lakini BEI IPO juu sana na nguzo IPO njee kwangu wala pia aifiki mita kumi naombeni majibu inakuwaje hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
9121fb762b895702456ccc7d61b6979b.jpg

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
0768985100 AU 022 2194400
customer.service@tanesco.co.tz
www.tanesco.co.tz
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Kwa mara ya Kwanza tangu kupata uhuru wilaya ya Tanganyika Leo imewashiwa umeme saa 8.35 mchana .

Wananchi wa wilaya ya Tanganyika Leo wameona mwanga wa umeme, wananchi wameishukuru serikali kupitia shirika la Umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Katavi kwa kuwapatia huduma hii muhimu ya umeme kwa ajili ya maendeleo yao, hayo yamebainishwa na wateja waliokuwa wakiongea na Afisa uhusiano na wateja wa Mkoa wa Katavi aliyekuwa shuhuda katika uwashaji wa umeme.

Tukio hilo la kuwasha umeme kwa Mara ya Kwanza tangu kupata uhuru wilaya ya Tanganyika limefanyika Leo tarehe 4/09/2017 saa 8.35 katika kijiji cha Majalila. TANESCO tunayaangaza maisha yako.
b153efef93ed38c9812d2e7aee44f66c.jpg

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Attention Tanesco kisarawe
nguzo ipo katika imeoza haifai ipo majohe bwera karibu na shule ya merlyin uliza kwa ostadh jina la mtoa taarifa Mika Shimba 0621725755
1be863c590dcc7c2d55aef4a5867ee53.jpg
aef921487211fa2077b50f7124ee628a.jpg
ba7ed21acd0869689797c804dee3bd36.jpg
13e136a889bf7e138cb1a76f1da50706.jpg

mjinga hajijui
mteja anashukuru mchana wa leo nguzo imebadilishwa.
Pamoja tujenge Tanesco yenye ufanisi

mjinga hajijui
 
Samahani mkuu naomba kujua hapa kwangu uwani kuna nguzo yenu ina mwaka na nusu kwa sasa hamna waya inesimamishwa tu.sasa sijajua kama shida inakuwa wapi.

Kijiji cha Kwekitui
Wilaya ya Lushoto
Mkoa Tanga
Kitongoji kinaitwa kwendauli.takribannguzo tisa zimebaki bila waya na hatujui mradi umeisha au laah!

Tunaomba namba yako ya simu,je uliomba umeme wewe .?

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Tanesco mmekuwa wababaishaji sana! Baada ya kufuatilia kufungiwa umeme kwa muda mrefu hatimae nilifungiwa lakini cha ajabu toka nilipofungiwa umeme haujawaka Na kila nikipiga cm kutoa taarifa naambiwa inaonekana mita haijasajiliwa Na naahidiwa kwamba itasajiliwa lakini cha ajabu mpaka Leo toka mwezi wa nane nazungushwa tu!
 
Mkuu tunaomba kujua nyumba ipo wapi mkoa na wilaya yako bila kusaau namba yako ya simu na leo hii umeme utawaka

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Tanesco Mwanza toka juzi mnamatatizo gani lakini?maana umeme hautulii umewaka...umekatika!kwanini hamtoi taarifa mapema?na kama mmeamua kukata kateni mkimaliza mambo yenu ndipo mrudishe sio kutufanyia kama disco light,mnatuunguzia vifaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mita inaweza kutemper endapo unakosea kuweka umeme au kuingiza token zisizo au yenyewe inaweza kujitemper, hatua za kutatua mita itakapotemper ni mpaka wataalamu wetu wafike eneo lako kujua chanzo cha temper ni nin? Mita imechezewa au imejichezea,
Kwa swala lako je nini kinakusibu,? Mita ukiingiza umeme inaonyesha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa respond yako nimeenda katika ofisi zenu na tayari nimesharesolve tatizo langu
 
Tanesco Mwanza toka juzi mnamatatizo gani lakini?maana umeme hautulii umewaka...umekatika!kwanini hamtoi taarifa mapema?na kama mmeamua kukata kateni mkimaliza mambo yenu ndipo mrudishe sio kutufanyia kama disco light,mnatuunguzia vifaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo gani
Wilaya
Namba ya simu
Tafadhali

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
TANESCO pia mnatoa ushauri.
hebu naomba ushauri, mimi fundi.
elimu yangu kudato cha nne
fani yangu ni fundi umeme.
kila nikiimba kazi tanesco sioni mafanikio. angalau kibarua lakini hakuna kitu.
nikituma barua siitwi mwaka wa tatu sasa. nikingia katika miradi ya rea umeme vijijini nafanya kwa muda mfupi tu haizidi miezi mitatu mara mradi umesimama, cv hawatoi hebu naomba ushauri jaamani hali mbaya sasa.

Ndugu mpendwa mteja
Tunakujulisha kuwa sio wote wanaomba kazi wanapata vipo vigezo na masharti yanayozingatiwa, usisite kuomba mara zinapotangazwa kwani fursa hutolewa sawakwa wote.

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
msaada ea haraaka.
mimi fundi umeme nimefanya wayaring ya umeme kampuni moja.
sasa wananilalamikia mimi kuhusu suala la nguzo kuhamisha. swala hili halinihusu hata kidogo.

sasa hawa jamaa wanalalamika kuhamishiwa nguzo hiyo maana waya umegusa paa.

niliwashauri waende tanesco, wamefanya taratibu zote za kulipia mafundi tayari wameshapanda nguzo nyingine ila TATIZO NI mpaka sasa hawajaja kuhamisha waya. TANESCO msaada jamaa wanalalamika sana.
KAMPUNI--zanziba.
MAHALI---mlandizi karibu na kituo cha mabasi
MKOA--pwani
WILAYA--kibaha

Tusaidie namba ya simu ya muwakilishinwa kampuni na eneo ambapo ipo tumsikilize mteja wetu

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.

NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari mkuu! Leo ni siku ya Pili wakazi wa wilaya ya HAI-Kilimanjaro.

Kitongoji cha WARI hatuna umeme tupo gizani na hakuna maelezo yoyote juu ya suala hili la kukaa bila umeme!

Tunaomba mtusaidie
 
Habari mkuu! Leo ni siku ya Pili wakazi wa wilaya ya HAI-Kilimanjaro.

Kitongoji cha WARI hatuna umeme tupo gizani na hakuna maelezo yoyote juu ya suala hili la kukaa bila umeme!

Tunaomba mtusaidie
Tunaomba namba yako ili tufatilie

Back
Top Bottom