Hili swali lako subiri aje hapa baada ya kukujibu ataanza kukuambia utume deatils zako ndio utajuwa hawapo serious kabisaEbu tupeni maelekezo mteja anataka kufungua kiwanda kidogo cha matofari anahitaji three phase na nguzo kama 3 nn kifanyike ili apate huduma hii mapema maana nimzunguko husiokuwa na afya
Hii ipo kimala temboni
Nadhani ntapata majibu kupitia hapa
Tafadhali tambua taratibu za kuomba umeme ni zile zile kama ifuatavyoEbu tupeni maelekezo mteja anataka kufungua kiwanda kidogo cha matofari anahitaji three phase na nguzo kama 3 nn kifanyike ili apate huduma hii mapema maana nimzunguko husiokuwa na afya
Hii ipo kimala temboni
Nadhani ntapata majibu kupitia hapa
Tunaifanyia kazi muda muafaka ukifika utafurahiaNI LINI TUKINUNUA UMEME WA LUKU UTAINGIA MOJA KWA MOJA KWENYE METER?
TEKNOLOGIA HIYO HAIPO?
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Ndugu mpendwa Mteja wetuMaeneo ya kata ya Segese, Halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga watu wamelipia control number tangu mwezi wa Saba/nane lakini hadi leo hawajaja kuungasha umeme kwa watu. Baada ya kuona hivo wananchi wanatoa rushwa na kujipendekeza ili wawashiwe, na mtu akitoa hiyo pesa anawashiwa umeme. Hapa shirika halitendi sawa !
Jijini Mwanza, wilaya ya ilemela, kata ya nyamhongoro, maeneo ya nyamadoke, watu wanatoa pesa pia ili ndo wawekewe nguzo na kuletewa umeme. Bila hivo, umeme haupelekwi. Tanesco, kuna shida gani mpaka hali inakuwa hivo?
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco mna tatizo gani? Nanunua umeme naambaiwa nadaiwa Kodi ya jengo wakati tangia nianze kununua umeme mwezi wa 8 nakatwa kuanzia Kodi ya mwezi wa 7?hapa wanataka ninunue umeme wa kuanzia elfu 6 ili wakate elfu 4 ambayo tayari nilishakatwa.
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco Kuna tatizo gani Kijiji kamaishango kata ikondo wilaya Muleba mkoa Kagera hatuna umeme tangu Jana usiku na tanesco wamelala tu hatuoni kinachoendelea mtusaidie jamani wakuu tunalala gizani
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANZANIA)Mgao wa umeme tena Kinondoni, du!!! Tangi asubuhi hadi sasa 15:18 hakuna umeme.
Kila la kheri viongozi wapya wa TANESCO (Waziri. Bodi ya Wakurugenzi, na Menejementi). Hakika mnaupiga mwingi[emoji848]
Hatimaye umeme umerudishwa muda huu saa 1¾ usiku na siyo saa 10 jioni.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANZANIA)
09/10/2021
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Kinondoni Kaskazini linawataarifu kuwa kutakuwa na katizo la umeme katika laini ya MIKOCHENI 6 (MK6) na baadhi ya maeneo katika Laini ya MWENGE kama ifuatavyo;
Siku Jumatatu Tarehe 11-10-2021
Muda Saa 03:00 Asubuhi hadi 10:00 Alasiri.
Sababu Kufanya matengenezo kwenye laini pamoja na kubadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Kiwanda vya Tanpack Tissue, ITV na Radio One, Ngome Saccos sinza, Maeneo ya Sinza A, Bamaga, Mapambano, Mori, Afrika sana, Makaburini, Radio Maria, Kota na Chuo na cha ustawi wa jamii, Hospitali ya Maria Stopes, Hoteli za Wanyama na Kebbys, Kota za BOT, Hongera Bar, Kota za Chuo kikuu cha Dar es salaam, Maeneo ya Meeda bar na Blue bird, Mtaa wa Kwa Ikangaa, Kijitonyama kwa Mwarabu, Polisi mabatini Mwenge zahanati, Ghorofa za jeshi Mwenge, Mwenge sokoni, Mwenge bodi ya mikopo ya zamani, Hospital ya Mama Ngoma, Mwenge TRA, Maeneo ya Maryland bar pamoja na maeneo ya jirani.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tahadhari
Usikanyage wala kugusa waya uliokatika au kulala chini.
Wasiliana nasi kwa simu na.zifuatazo: Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini
0784768584/0716768584
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz,
Mitandao ya kijamii
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA- KINONDONI KASKAZINI
Hakuna hata ndoto ya kupelekewa umemeJe haujafika au umekatika? Je Wamewahi kufanya maombi ya umeme?
Ndugu mpendwa Mteja wetuHakuna hata ndoto ya kupelekewa umeme
Achana na biashara ya kukatika umeme
Umeme swala wapelekewe umeme wa
TANESCO