SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANZANIA)
09/10/2021
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO Mkoa wa Kinondoni Kaskazini linawataarifu kuwa kutakuwa na katizo la umeme katika laini ya MIKOCHENI 6 (MK6) na baadhi ya maeneo katika Laini ya MWENGE kama ifuatavyo;
Siku Jumatatu Tarehe 11-10-2021
Muda Saa 03:00 Asubuhi hadi 10:00 Alasiri.
Sababu Kufanya matengenezo kwenye laini pamoja na kubadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Kiwanda vya Tanpack Tissue, ITV na Radio One, Ngome Saccos sinza, Maeneo ya Sinza A, Bamaga, Mapambano, Mori, Afrika sana, Makaburini, Radio Maria, Kota na Chuo na cha ustawi wa jamii, Hospitali ya Maria Stopes, Hoteli za Wanyama na Kebbys, Kota za BOT, Hongera Bar, Kota za Chuo kikuu cha Dar es salaam, Maeneo ya Meeda bar na Blue bird, Mtaa wa Kwa Ikangaa, Kijitonyama kwa Mwarabu, Polisi mabatini Mwenge zahanati, Ghorofa za jeshi Mwenge, Mwenge sokoni, Mwenge bodi ya mikopo ya zamani, Hospital ya Mama Ngoma, Mwenge TRA, Maeneo ya Maryland bar pamoja na maeneo ya jirani.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tahadhari
Usikanyage wala kugusa waya uliokatika au kulala chini.
Wasiliana nasi kwa simu na.zifuatazo: Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini
0784768584/0716768584
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti:
www.tanesco.co.tz,
Mitandao ya kijamii
Twitter,
www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook
https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA- KINONDONI KASKAZINI