Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 149
Shule hii ni Tangu 2011 mpaka leo hata nguzo wala mchoro maswali mengine tuma ofisi ya Tanesco chalinze kwa uwongozi wa shule watakupa data zote.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tunawashauri kufikisja maombi ya umeme ofisi zetu ili.kwendana na taratibu zetuShule hii ni Tangu 2011 mpaka leo hata nguzo wala mchoro maswali mengine tuma ofisi ya Tanesco chalinze kwa uwongozi wa shule watakupa data zote
Mm ni raia mwema ninaye athirika na tatizo hili kwa watoto wetu wanaosoma shule hii ya moreto secondary Lugoba chalinze
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO
Nipo kibaha eneo la Picha ya ndege kata ya Sofu, kuna tangazo nimeliona online lina husiana na upimaji ndaninya kibaha na eneo la picha ya ndege ni moja wapo ya eneo lengwa sasa ningependa kufahamu huo upimaji ndio ile huduma ya kutembelewa na surveyor kwa wateja wapya walio omba huduma ya umeme ? Au Ni upimaji upi huonunao maanishwa
Kwanini mkuu wetu wa kazi
Viongozi ivi huwa mnansoma mtu kaandika nini au wenzetu huwa mnajibu tu ilimradiNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Naomba mnisaidie nambanya Tanesco mkoa wa Pwani maana hii mlizo weka humu hazipatikani kabisaaaaSio sahihi kujibu bila taarifa hilo litakuwa jibu la kubahatisha ndio maana unashauriwa kutoa taarifa kamili
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidiJina Japhet Edward Hamaro
Eneo Mabwepande Mji mpya
Wilaya Kinondoni
Namba ya simu 0768 590175
Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.
Toka lini September 13
Ahsante sana
Halipaswi kukushangaza bali unapaswa kuchukua hatua za kutoa taarifa TRA watafika kuhakiki na kuelekeza TANESCO nini cha kufanya.Hili limenishangaza sana tuna kiwanda cha Tofali ambapo tumewekeza kwenye uwanja wa wazi na tumejenga Banda la miti na kuunganishiwa umeme sasa inakuaje tunakatwa kodi ya Jengo?
Ahsante mwa ushauri je umelipia umeme kwa jina gani? Namba ya simu na tarehe ya malipoUshauri wa bure kwa management mpya Tannesco.Sasa hivi kuna demand au wateja wengi sana wameomba kuweka umeme kwa sababu ya bei kishushwa ya kuweka umeme.Ningeshauri Tannesco wangekuwa na utaratibu wa kubandika kwenye ofisi zao watu walioomba kuwekewa umeme na tarehe watakazo wawekea.Ili mtu akifika a aangalie kwa matangazo hasumbuki hata kuuliza maswalj na wakati mwingine kuhisi siwekewi kwa sababu wanataka rushwa. Mimi kesi yangu nikifika hapo Tannesco kila siku unaambiwa jumatatu tunaanza wateja sijui wa mwezi wa saba ,zimeshapita jumatatu kama nne hivi.Funga kazi juzi nikapiga huduma kwa wateja wakasema baba unajua waliomba umeme kuanzi mwezi wa saba tarehe 1 ni watu 600.Duu niliachwa hoi kwa hizo kamba za wateja 600.Jamani Tannesco Mbezi Beach muwe wakweli basi.Kaka Maharage wewe jirani yangu hapa Makongo tafadhali nyoshaaa hiyo tannesco .Mimi nasubiri wateja 600 wishes niwekewe umeme jamani.
Ushauri mzuri kabisa kwa tanesco, inabid wabandike orodha ya wateja walioomba umeme kuondoa mazingira ya rushwa. Mi nimeomba umeme tangu mwezi wa tano mpaka Leo majibu niliyopewa Ni kuwa niendelee kusubili haijulikan mpaka lini, kila nikiulizia humu wananiomba taarifa zangu za kuomba umeme nimewapa tanesco ila mpaka Leo kimyaUshauri wa bure kwa management mpya Tannesco.Sasa hivi kuna demand au wateja wengi sana wameomba kuweka umeme kwa sababu ya bei kishushwa ya kuweka umeme.Ningeshauri Tannesco wangekuwa na utaratibu wa kubandika kwenye ofisi zao watu walioomba kuwekewa umeme na tarehe watakazo wawekea.Ili mtu akifika a aangalie kwa matangazo hasumbuki hata kuuliza maswalj na wakati mwingine kuhisi siwekewi kwa sababu wanataka rushwa. Mimi kesi yangu nikifika hapo Tannesco kila siku unaambiwa jumatatu tunaanza wateja sijui wa mwezi wa saba ,zimeshapita jumatatu kama nne hivi.Funga kazi juzi nikapiga huduma kwa wateja wakasema baba unajua waliomba umeme kuanzi mwezi wa saba tarehe 1 ni watu 600.Duu niliachwa hoi kwa hizo kamba za wateja 600.Jamani Tannesco Mbezi Beach muwe wakweli basi.Kaka Maharage wewe jirani yangu hapa Makongo tafadhali nyoshaaa hiyo tannesco .Mimi nasubiri wateja 600 wishes niwekewe umeme jamani.
Nasubiri hao 600 wateja wamalizike. Mkijisikia kuniwekea sawa msipojisikia sawa. Jina sitoi wala nini.Ahsante mwa ushauri je umelipia umeme kwa jina gani? Namba ya simu na tarehe ya malipo