Tunaamini nia yako ni kuhudumiwa basi toa ushirikiano na sisi tupo kukuhudumia
 
Kiukweli tanesco wilaya ya mkuranga mnaboa Sana nipo vikindu kamegele kwaninj hamtuleteee umeme huku siku hizi nyumba za kutoshaa sijui mbafeli wapi miyeyusho Sana nyie
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Hawataki kufanya hivyo makusudi tu ili wakudanganye kuna waombaji 600 waliomba hapa Mbezi na kukukatisha tamaa. Hivi najiuliza mimi nahitaji kujua kweli kuna watu wangapi wameomba umeme hapo Mbezi Beach Tanesco?au mniambie wewe uliyeomba mwezi wa saba tutakuwekea siku fulani.

Uyo anayepokea simu hayuko that much trained ,hakuulizi haya Tannesco wanayoniuliza hapa kwenye Forum. Anakuuliza wewe uneomba /umelipia lini that is all.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Ahsante mwa ushauri je umelipia umeme kwa jina gani? Namba ya simu na tarehe ya malipo
Haya yanatakiwa wakuulize wanaopokea simu hapo Tannesco Mbezi Beach. Wanakuuliza "kwani unelipia lini"basi wanaishia hapo na kukupa majibubya waombaji ni wengi sana.Sasa mimi naelewa waombaji wengi kwa Tannesco ni wangapi?
 
Haya mgetakiwa aniulize muhudumu aliyepokea simu na sio kuweka jina langu hapa mtandaoni.mnichore
 
Haya yanatakiwa wakuulize wanaopokea simu hapo Tannesco Mbezi Beach. Wanakuuliza "kwani unelipia lini"basi wanaishia hapo na kukupa majibubya waombaji ni wengi sana.Sasa mimi naelewa waombaji wengi kwa Tannesco ni wangapi?
Tunaimani utatoa ushirikiano na sisi tupo kukuhudumia, tumafurahia sana kukuhudumia
 
TANESCO NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI KUONYESHA MSISITIZO
niko LAELA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI yaani hapa hapa mjini na kutoka kwangu hadi ofisi za tanesco wilaya ni dakika 3 tu kwa bodaboda ,nina kibanda changu nimepiga wiring bado umeme tu surveyor amefika ila tatizo kupewa CONTROL NUMBER surveyor anasema kuna tatizo kati ya tanesco na rea kwa hiyo tusubirie mpaka muafaka utakapopatikana ndo nawaza sijui mwaka gani nitapewa nilipie ili niungiwe na mimi embu fuatilieni mnipe majibu ya kuridhisha sio naambiwa nisubirie wakati sijui mpaka lini
 
Tafadhali onesha namba ya simu kwa hatua zaidi
 
eneo ni laela،wilaya sumbawanga vijijini, tatizo sijapatiwa control number ili nilipie elfu 27000 waweze kuniunganishia umeme،ni takriban wiki tatu zimepita
 
eneo ni laela،wilaya sumbawanga vijijini, tatizo sijapatiwa control number ili nilipie elfu 27000 waweze kuniunganishia umeme،ni takriban wiki tatu zimepita
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Naomba kujua gharama za mtu kujiwekea mita katika nyumba aliyopanga,yaani mita ipo lakini nataka niwe natumia umeme wa peke yangu kwasababu natumia umeme mkubwa kuliko wapangaji wenzangu jambo ambalo nawaumiza sana.
 
Hii itategemea na mazingira ya nyumba husika kwa kuwa sio kila nyumba inaweza kuna na mita zaidi ya moja,
 
Hongereni sana kwa hatua mnazofanya kusambaza umeme nchini!!Napenda kuuliza,mna mpango gani wa kusambaza umeme hapa kwetu Swaya kata ya Iyunga-Jijini MBEYA?
 
Toeni tozo za majengo kwa wapangaji bhana wawekeeni wenyenyumb kwani sisi wanatupunguzia kodi.?
 
Mimi naambiwa nimpe surveyor elfu 50, hii imekaaje.. surveyor si analipwa na ofisi kwa maan hii Ni kazi na jukumu linalimfanya alipwe.. iweje nimlipe Mimi?!
 
Mimi naambiwa nimpe surveyor elfu 50, hii imekaaje.. surveyor si analipwa na ofisi kwa maan hii Ni kazi na jukumu linalimfanya alipwe.. iweje nimlipe Mimi?!
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…