Mimi naambiwa nimpe surveyor elfu 50, hii imekaaje.. surveyor si analipwa na ofisi kwa maan hii Ni kazi na jukumu linalimfanya alipwe.. iweje nimlipe Mimi?!
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Mi nina malalamiko.
1. Nimeleta barua ya kuhamishiwa nguzo ambayo watu wenu wamekuja kumfungia jirani yangu umeme wakapitisha waya juu ya paa langu. Nimeandika barua na kuileta kwenu kupitia serikali ya mtaa, tangu mwezi wa 9 lakini mpaka leo sijashughulikiwa.
Mi naishi Msongola nyuma ya kituo cha watoto yatima.

Hiyo nguzo ikihamishwa si tu itaondoa waya juu ya paa langu lakini pia hata majirani wengine wanaweza kuvuta umeme kupitia hiyo. Namba yangu (ambayo kwenye barua pia ipo) ni 0714 520 882.

2. Nimelipia umeme tangu tarehe 02/09/2021 pale Gongo la mboto nikaambiwa ndani ya mwezi nitafungiwa. Lakini mpaka leo ni zaidi ya mwezi sijafungiwa!

Naomba mnisaidie kwa hayo, kama hamuwezi nijue naenda kutafuta msaada wapi, maana kama binadamu unapoleta malalamiko na ukakaa muda mrefu usipate response yoyote hutajisikia vizuri. Najua kazi ni nyingi lkn hata response ya simu hakuna
 
Asante kwa taarifa tunaomba uvumilivy wako tuzifanyie kazi, kuhusu kufungiwa umeme ni kweli wamelipia wateja wengi ambao wamepelekea tuwafungie kwa mfumo wa wa kwanza kulipia wa kwanza kufungiwa hivyo tutakufikia
 
Hivi mkisema mnataka ushauri maana yake nini kwenye kufungiwa umeme kuna ujinga mwingi wa wafanyakazi kutengeneza mazingira ya rushwa kama mdau alivyoshauri kubandika majina ya waombaji umeme na tarehe husika kwa wanaohitaji nguzo na wasio hitaji nguzo hii itapunguza rushwa na kuuliza kila wakati haiwezekani mtu unalipia mwanzo halafu anaelipia za karibu afungiwe hili shirika mnatengeneza mianya ya rushwa kwa wafanyakazi wenu na mnajua kabisa wanakula rushwa
Vicent Daudi
Nimelipia tar 15/09/2021
Mbezi Luis
0657230449
 
Tumepokea taarifa tutakufukia kwa sasa tunamaombi mengi sana kutokana na punguzo la bei hivyo tunaendelea kuwafungia wateja waliolipia nyuma yako hakika na wewe tutakufungia mda chache kuanzia sasa
 
Tumepokea taarifa tutakufukia kwa sasa tunamaombi mengi sana kutokana na punguzo la bei hivyo tunaendelea kuwafungia wateja waliolipia nyuma yako hakika na wewe tutakufungia mda chache kuanzia sasa
Nimelipia tarehe 30/08/2021
Salum Issa
0713552943
Huu mwezi wa kumi sasa unataka kuisha tatizo nini au muwe mnasema ukishalipia utakaa miezi sita ndio utafungiwa umeme kuliko kutusumbua nenda rudi kila siku kama hatuna shughuli za kufanya
 
Asante kwa taarifa tunaomba uvumilivy wako tuzifanyie kazi, kuhusu kufungiwa umeme ni kweli wamelipia wateja wengi ambao wamepelekea tuwafungie kwa mfumo wa wa kwanza kulipia wa kwanza kufungiwa hivyo tutakufikia
Sawa. Navumilia, ila tarehe 3 mwezi ujao ile nguzo isipohamishwa nitakuja ofisini gongo la Mboto, na nisipota msaada nitatafuta msaada sehemu nyingine
 
Kuhusu tozo za serikali.nyumba moja Ina mita mbili killa mwezi inakatwa debt collection mita zote mbili hii inakuaje?
 
Kuhusu tozo za serikali.nyumba moja Ina mita mbili killa mwezi inakatwa debt collection mita zote mbili hii inakuaje?
Unashauriwa kutoa taarifa TRA ya eneo lako nawo ndio watafanya uhakiki na kuatupatia taarifa ya mita ipia ikatwe
 
Taarifa mnapata tatizo la kukatikakatika kwa umeme linajirudia kama sasa Kinondoni. Kweli "kazi iendelee" au "hapa kazitu"?

Je, tuamini ni hujuma kwa Serikali ya Awamu ya Sita?
 
Yaani Tanesco wanaochelewa kumuingizia umeme mteja wapigwe kesi ya uhujumu uchumi. Haiwezekani Kodi tunakusanya kwa luku, Sasa wao badala ya kuongeza walipa Kodi wao wanachelewesha
 
TANESCO, shirika la Umma, mna huduma za ajabu sana.
Kodi mnaongeza ila huduma dhaifu, just extend your service to reach more clients mnaweza kufidia eneo la tozo, na sio kubaki na empty promises

Mfano angalia ombi hili la kufungiwa mita, halafu linganisheni na haya mnayo zungumza.

1-Paul Jerryson Njau
2-Nungu, Mikese Morogoro mjini
3-Maombi ya mita toka May-2021
4-Simu 0755253206

Naomba kuhudumiwa.
 
Tunashukuru kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
 
Ushauri kwa ofisi ya Tanesco Manispaa ya MPANDA mkoani Katavi!

Ni wiki sasa kumekuwa na tatizo mnaloliita la mtandao na hivyo kushindwa kutoa control numbers na hivyo kukwamisha zoezi zima la ulipiaji wa gharama za kuwekewa umeme n.k!!!Ushauri wangu kuliko kusumbua watu ambao wanatoka mbali kwa nini msiprint zote kwa kuwa kumbukumbu zote mnazo na kwa kuwa mmetudhibitishia Leo kuwa mtandao unakuja ,unakaa kidogo halafu unakata!

Namba mliyotupa kuwa tukae kila baada ya muda kidogo tunawapigia bado si suluhisho la kudumu!Hatua zaidi inatakiwa!

Chapeni hizo hard copies za control numbers tuje tuchukue!!
 
Wapendwa mwenye namba ya simu Tanesco Mbezi Beach
 
TANESCO nimetoa taarifa ya tatizo la umeme kwenye nyumba (kulitokea cheche za moto kwenye muunganiko wa waya unaotoka kwenye guzo na kwenye mita) toka jumamosi asubuh lakini sijapata msaada wowote.

Eneo: Gezani
Wilaya: Mkinga
Mkoa: Tanga
Simu:0655362878
 
Tunashukuru kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
Asante kwa huduma, angalau kwa 40% nimeridhika, baada ya leo kutoa taarifa hapa jukwaani nimepewa control number na nimeshaipia

Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032974693
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921291074519885
2021-10-18T16:49:56
Kupitia: EC101083820055IP

Afisa wangu mpendwa, naomba kujua hatua inayo fuata baada ya hatua hii na nitegemee kupata umeme lini?

Asante.
 
Asante kwa taarifa, tafadhali lipia tukufungie umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…