Malipo yako yamepokelewa tarehe 9/09/2021 yapo kwenye orodha ya wateja watakaofungiwa umeme tunaomba uvumilivu wakoTANESCO, nisaidieni toka nimelipia niliambiwa nisubiri ndani ya siku 30 nitakuwa nimeunganishiwa lakini mpaka leo sijui tatizo ni nini?
Selina nikolaus
0744919713
Sumbawanga mjini
Eneo Majengo
Rukwa
Fomu yenu inaonyesha.View attachment 1982961
@TANESCO nashukuru sana leo nimepata control number na nimeshalipia.Ndugu mteja,
Kama tayari umeshafanyiwa survey na zimepita siku 7 ujapata control number tunaomba kupata taarifa zako sahihi ulizotumia kuomba umeme ikiwemo
Jina kamili
Namba ya simu
Eneo lako
Wilaya
Mkoa
Karibu sana@TANESCO nashukuru sana leo nimepata control number na nimeshalipia.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco umeme eneo la Chanika Zogoali kwa diwani togolo lini????. Maana imebaki sehemu ya nguzo tatu umeme utufikie ila ndio hakuna kinachoendelea mko kimya kila siku ahadi ambayo haitekelezeki .Tunaomba kujua lini hizo nguzo zitapatikana maana tumezungukwa na wenye umeme kasoro nyumba chache tu. Je mpaka tununue hizo nguzo au ndio mambo ya rushwa jamani.Kwa kweli tumepoteza matumaini.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiTunaomba kujua tatizo ni nini mpaka huo mtaa umezungukwa na umeme ila wenyewe hauna?? Tanesco tunaomba sana miaka inakatika na umeme hauko mbali ila kila siku ni ahadi. Je mpaka tununue hizo nguzo???
Tafadhali onesha namba ya simuJina😱bby
Eneo:saku
Wilaya:temeke
Tatizo:umeme huku kila siku unakatika kama kuna mgao mnasema watu tuwe tunajiandaa,unakatika masaa 2 hadi masaa 3 mtakuja kutuunguzia vitu vyetu,halafu kipindi cha marehemu ulikuwa umeme wa uhakika shida ninii wakuu
Mbona taarifa yangu mpaka leo kimya hamnipi mrejeshoJina Japhet Edward Hamaro
Eneo Mabwepande Mji mpya
Wilaya Kinondoni
Namba ya simu 0768 590175
Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.
Toka lini September 13
Ahsante sana
Hawa wasaidizi wake asipoangalia watamuangusha maana hii sekta imezidi yani kila wiki lazima ukatike duh! Haikuwa hivi wakati wa jamaa aisee.Mama siku hizi akimaliza Kuchemusha Maji anasema kateni umeme
Mkuu haya matatizo yamekuja baada ya uongozi mpya kweli!!! Hii mbona inashangaza maana ingekuwa ni uongozi mpya ule wa upya wake walau tungesema kitu lkn mpya kwa kurithi!.. naona Kuna tuvitu tunayumba.Shida ni kwamba kunamatatizo yq msingi yanayotakiwa kuwa fixed bahati mbaya watawala wanaingia na gear ya kumchafua mtu aliyekuwepo..sasa nashangaa kila siku afadhali ya jana.Walitakiwa Tanesco mpya wawatangazie matatizo wanqyokabiliqna nayo wananchi
kunaissue ya kurelax kwani serikali imesema haitwaingilia Tanesco sasa ndo hapo..zamani waliogopa kutbuliwaMkuu haya matatizo yamekuja baada ya uongozi mpya kweli!!! Hii mbona inashangaza maana ingekuwa ni uongozi mpya ule wa upya wake walau tungesema kitu lkn mpya kwa kurithi!.. naona Kuna tuvitu tunayumba.