kunaissue ya kurelax kwani serikali imesema haitwaingilia Tanesco sasa ndo hapo..zamani waliogopa kutbuliwa
Kwa namna hii yatawashinda sometimes ni aibu aisee waafrika shida shida shida tupu!
 
Umeme hauna tatizo lolote bali ni mpamgo mkakati wa kutaka watu waamini kuwa tuna uhaba wa umeme ili majenerata ya JK yarudi waanze kupiga hela. Ndo maana Samia alilazimishwa amweke January
 
Umeme hauna tatizo lolote bali ni mpamgo mkakati wa kutaka watu waamini kuwa tuna uhaba wa umeme ili majenerata ya JK yarudi waanze kupiga hela. Ndo maana Samia alilazimishwa amweke January
Ya kweli haya..?
 
Wewe unadhani Seth kuwekwa ndani na JPM si ilikuwa ni vita ya kutaka hela ya ESCROW irudi serikalini? Sasa kuachiwa kwa Sethi unajua maana yake ni nini?
🙄 Tiririka ndugu wengine haya Mambo hatujui huwa tumeweka kambi jukwaa la mapenzi kule..😅
 
🙄 Tiririka ndugu wengine haya Mambo hatujui huwa tumeweka kambi jukwaa la mapenzi kule..😅
Kifo cha JPM kiliuma si kwa sababu nyingine bali aliwapiga stop hawa mafisadi na kama bwawa lingemalizika wakati wake na bei ya umeme ingalikuwa chini.

Kwa sasa akina January watahakikisha wanaweka cha juu na bei ya umeme haitaenda chini.

Sisemi bwawa halitaisha ila gharama ya kulimalizia zitakuwa za juu kutokana na ufisadi itakayopelekea unit moja ya umeme kuwa juu. Poleni Watanzania na bado,
 
Tatizo la umeme Tanzania lipo kabla ya uhuru acheni lawama zisizo na kichwa Wala miguu kwa mama Samia
 
Wamemteua Uwaziri Makamba mzee wa kujisifia mitandaoni unategemea nini....Nchi ipo kuliwa saizi.
🤣🤣 Watu mshakata tamaa!
Ohooo! Naomba tusifike huko aisee
Tatizo la umeme Tanzania lipo kabla ya uhuru acheni lawama zisizo na kichwa Wala miguu kwa mama Samia
Mkuu sidhani Kama umeelewa mada!
 
🤣🤣 Watu mshakata tamaa!

Ohooo! Naomba tusifike huko aisee

Mkuu sidhani Kama umeelewa mada!
Tatizo kubwa kwa sasa ni kuwa na upinzani wa kipuuzi. Waninafsi kama akina na Tundu Lissu au majizi yaliyookoka kama akina Lema etc. Kwa sasa ndipo tunahitaji Credible upinzani ili utusaidie. Ona watu kama Zitto wapo kuzungumzia JPM ambaye ashayoyoma!

Ukiona mtu anazungumzia katiba mpya sasa hivi unamuona ni mpuuzi tu, hajitambui. Hii nchi inahitaji upinzani wa maana si wabwabwajaji kama Erythrocyte

brazaj waleta mada za Mwamakula akina BAK etc. Tunataka watu wa kushughulika na tatizo la leo na kutoa ushauri kwa serikali ili wananchi tuwaunge mkono.

Vitu kama anavyofanya January vinakosa viongozi wa kuvisimamamia kuvipinga ili kuokoa nchi yetu. Tunabaki oh oh bure kabisa
 
Tatizo kubwa kwa sasa ni kuwa na upinzani wa kipuuzi. Waninafsi kama akina na Tundu Lissu au majizi yaliyookoka kama akina Lema etc. Kwa sasa ndipo tunahitaji...
🤣🤣 Mkuu mpk umeleta akina member wengine hii Vita yenu mi naishia hapa. Hili lako sasa. Maana tumefika Hadi kwenye katiba sijui Nini..
 
Baada ya kuapishwa tu akasema hataki kusikia umeme kukatwakatwa! Sasa sijui hajui ya kuwa umeme unakatwakatwa hovyoo!...
"Kumekuwa na neglect ya maintenance ya mfumo wa ugavi kwa kitambo. Mwaka jana tu shilingi bilioni 20 zilizopaswa kutumika kwa matengenezo hazikutumika. Matokeo ndio haya.

TANESCO sasa wanasitisha miradi yote ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya ugavi" - January Makamba
 
Ohoo
 

Makamba tunamjua hana jipya zaidi ya maneno matupu na kubebwa na mfumo kupitia jina la Baba yake,linapokuja swala la utendaji ni ziii.Yeye aendelee kupiga porojo mitandaoni ndiyo kazi pekee anayoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…