Nmelipitia toka mwez wa sita mwaka huu mbeya hapa mjini naitwa donatha aswile mwantofi mpaka sasa sijafungiwa umeme sjui tatizo ni nn namba yangu ni 0754239856

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio vizuri ku disclose namba za simu. Cha muhimu Mtu akiwapa taarifa kamimili mnafuatilia. Wengine hatupendi namba zetu kuanikwa Kama njugu
 
TANESCO YAKABIDHI NYUMBA MBILI ZA WAALIMU KUUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kuunga mkono jitihada za Serikali chini ya Raisi Dkt John Pombe Magufuli katika kuboresha elimu Nchini kwa kujenga nyumba mbili za waalimu Wilayani Mpwapwa.

Pichani hapo chini ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa akizindua rasmi nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Mtera Dam, pembeni yake ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na huduma kwa Wateja Bi. Joyce Ngahyoma.


TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO

Imetolewa na :
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
7 Septemba 2017

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Nyie Tanesco mjirekebishe , unanunua umeme kwa M- pesa, hela inakatwa umeme hautumwi ukiwapigia voda wanakwambia sisi tayari tushamaliza kwa hiyo hilo ni swala la Tanesco nenda ofisini kwako, huo ni ujinga aiseee,nmerahisisha halafu naambiwa niwafate Ofisini kwenu ndo nn basi,wakati mwingine umekusanya hela za wapangaji matokeo yake waonekana ww mwizi kumbe ni nyie huko
 
Mpendwa mteja

Tunakujulisha kuwa unapununua umeme kwa njia fulani tatizo linaweza kuwa njia hiyo au sababu za mita yako labda kuwa na deni au vinginevyo hivyo unaponunua umeme ukakosa tutumie ujumbe uliojibiwa nasisi tutakuhudumia hata kama tatizo litakuwa kwa washirika wetu tutafalia na kuhakikisha unapata huduma yetu

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…