Nimekuja Mtwara nina wiki sasa na sijaona tatizo la umeme kabisa. Hawa jamaa kwenye umeme wametoboa.
 
Habari Tanesco.
Asanteni kwa huduma.

Nimeomba kuunganishiwa umeme
16-Jun-2021, hadi leo sijapata huduma.

Naomba kujua njia gani niitumie kupata umeme.

Daudi Ismail Manjebe
Morogoro mjini
Mkundi minara mitatu, Cct,Forest
Jirani na chuo cha ushonaji
0658480552

Shida nipate control number.

Nawategemea.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Sijui ni lini tutaacha kuwanyenyekea hivi, mtu unakamilisha taratibu zote za kuunganishiwa ila mnachelewesha zaidi ya miezi 4 na kuendelea, hivi ninyi watendaji wa TANESCO na kwenye majumba yenu pia mnachelewesha hivi kama raia wengine?

Mnakera sana!!
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Tunajibiwa na roboti sio mtu huyu
 
Tanesco mtu akilipia inachukua muda gani kupata huduma nmelipia tar 21 october ni kufunga umeme tu nguzo ipo nmeuliza nmejibiwa hakuna mita mpaka zifike,je inachukua muda gani kufikisha mita uku mwisho wa reli
@Ncherry1 bora wewe ndugu yangu umelipia mwezi wa 10 wenzako tumelipia mwezi wa 9 mwanzoni kabisa hadi leo hakuna dalili ya kufungiwa umeme huko mwisho wa reli, jibu ni hilo hilo kila mara hakuna mita, ila kinachoshangaza wengine wanafungiwa sijui mita zinatoka wapi.
 
Mkono mtupu haulambwi, huu ndio kweli wenyewe
 
TANESCO

Hivi utendaji wa huyu Waziri wetu mnauonaje..., mimi naona haya majibu rahisi ya maswali magumu anayotoa hayakidhi kabisa..., Huu Mgao ambao sio Mgao Je ni Mgao ?
 
Tanesco boresheni huduma ya luku ili nikinunua luku iingie moja kwa moja kwenye mita,sidhani kwakukua huku kwa technology hili linashindikana!

Hii itasaidia umeme unapoisha na nyumbani wapo watoto tu ambao hawezi kutumia vile vi remote vya mita.
 
Jamani Kama Kuna Mgao wa Umeme Tupeni Taarifa hata kwa Gari, Umeme siku ya tatu mnakata asubuhi mnarudisha SAA 1 jioni Tatizo nini Shughuli zinasimama....
 
Wanazengo kiukweli enzi za maghufuli mgao was umeme ilibaki ndoto. Maghufuli alikuwa mkali kwenye insue kama hizi. Sote ni mashahidi kipindi cha maghufuli hatukusuhudia mgao kama Sasa. Makamba Kuna insue anafanya. Kumbe maghufuli alimjua ndo maana alimuweka pembeni. Makamba out.
 
Wapiga deal wamerudi. Nunua generator mapema kabla hazijapanda bei πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Wee miaka na miaka unanyoa upara akili zitatoka wapi.
Mawazo yake kuwa rais tu labda tukimfikiria atapewa urahisi.
 
mtoa mada kwani wewe upo mkoa gani..... sisi wa uku mwanza mambo ni shwari
 
Nunua unit mkuu mbona sisi unawaka, acha chuki binafisi kwa makamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…