Ulishafika ofisi yeyote kuo,ba maana huduma hii hutolewa kwa mteja kujaza fomu au kuandika barua ofisi inayomuhudumiaJina la mita Dennis .......
Mkoa wa Arusha, Mianzini
Tarehe ya kufungwa 04.10.2017
Mita ipo Tarrif 1
TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
Jina la mita Dennis .......
Mkoa wa Arusha, Mianzini
Tarehe ya kufungwa 04.10.2017
Mita ipo Tarrif 1
TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
....Na mimi naongezea kwa nini Tanesco hamnunui nguzo moja kwa moja toka Sao hill forest plantation, ambao surely bei ingekuwa afadhali?Hivi ugumu wa kupeleka nguzo maeneo mapya unatokana na nini......?
Nijuavyo iyo ni busines na nguzo ndio mtaji utakaowaongezea kipato toka kwa watumiaj....
Then kwa nin musiwe munaunga njia za umeme mkubwa moja kwa moja iwe rahisi kwa matumiz tofaut tofaut.
Eg. Mashine ya kusaga.
Sent from "La -Vista"
Fika ofisi ya eneo lako jaza form kisha kama umekidhi vigezo utabadilishiwaMkuu mimi natumia less than 75 units per month; na umeniambia natakiwa kuwa between 75-? units. je nifanyaje nibadilishiwe niwe katika Tarrif iliyo sahihi?
Tunaomba namba yako ya simu ili tufalitieHuduma za tanesco wilaya kiteto ni ufisadi mtupu. Watendaji wamekuwa miungu watu ambao mpaka wanyeyekewe ndio wakupatie huduma huu mbona unyanyasaji.
Hivi mtu kashajaza form amepimiwa tiyari anaenda kufanya malipo anaambiwa ushapigiwa simu. Kama bado hujapigiwa subiri mpaka upigiwie. Huu ni uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako tu auna jiranj zakompendwa mteja,tunaomba namba yako ya simu tukufikieMbona Ubungo Darajani mmekata umeme shida ni nini
Wateja wote wanapata huduma kwa sasaWaya wa line kubwa maeneo ya Boko Msikitini upo chini na kusababisha kuzimwa ili kutoa hatari na kuruhusu matengenezo katika line hiyo. maeneo yanayoathirika Bunju yote,Madale yote, baadhi ya maeneo ya Tegeta na baadhi ya maeneo ya Boko.
TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
Hizo ni gharama za kuunganishiea kwa umbali uliotajwa hapo juu,ukizidi mita 120 kutoka kwenye nguzo pia utafanyiwa makadirio na kuambiwa ulipie kiasi gani kupata huduma mpendwa mteja
naomba ufafanuzi hizo ni gharama za nguzo au kuunganisha pekeyake? mfano mimi nipo umbali wa mita kama 300 kutoka nguzo ya karibu na wiring nimefanya ...je naweza kufanyiwa gharama zangu jumla hadi kupata umeme? nipo dodoma vijijini...msaada tanesco tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante tumekupata mkuuATTENTION TANESCO KISARAWE
Transfoma ya Majohe njia panda ya Bwera inatoa sparks kwenye drop out fuse
mjinga hajijui