TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Jina la mita Dennis .......
Mkoa wa Arusha, Mianzini
Tarehe ya kufungwa 04.10.2017

Mita ipo Tarrif 1

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
Ulishafika ofisi yeyote kuo,ba maana huduma hii hutolewa kwa mteja kujaza fomu au kuandika barua ofisi inayomuhudumia

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Jina la mita Dennis .......
Mkoa wa Arusha, Mianzini
Tarehe ya kufungwa 04.10.2017

Mita ipo Tarrif 1

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu

Mkuu mimi natumia less than 75 units per month; na umeniambia natakiwa kuwa between 75-? units. je nifanyaje nibadilishiwe niwe katika Tarrif iliyo sahihi?
 
Hivi ugumu wa kupeleka nguzo maeneo mapya unatokana na nini......?

Nijuavyo iyo ni busines na nguzo ndio mtaji utakaowaongezea kipato toka kwa watumiaj....

Then kwa nin musiwe munaunga njia za umeme mkubwa moja kwa moja iwe rahisi kwa matumiz tofaut tofaut.
Eg. Mashine ya kusaga.

Sent from "La -Vista"
 
....Na mimi naongezea kwa nini Tanesco hamnunui nguzo moja kwa moja toka Sao hill forest plantation, ambao surely bei ingekuwa afadhali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi natumia less than 75 units per month; na umeniambia natakiwa kuwa between 75-? units. je nifanyaje nibadilishiwe niwe katika Tarrif iliyo sahihi?
Fika ofisi ya eneo lako jaza form kisha kama umekidhi vigezo utabadilishiwa

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Huduma za tanesco wilaya kiteto ni ufisadi mtupu. Watendaji wamekuwa miungu watu ambao mpaka wanyeyekewe ndio wakupatie huduma huu mbona unyanyasaji.

Hivi mtu kashajaza form amepimiwa tiyari anaenda kufanya malipo anaambiwa ushapigiwa simu. Kama bado hujapigiwa subiri mpaka upigiwie. Huu ni uhuni

Tunaomba namba yako ya simu ili tufalitie

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Tanesco Simiyu waendelea kutoa elimu ya umeme kwa wateja Dutwa Bariadi
9a20d17b00aa1c272b821e73296801c6.jpg
351e53067d0ca24af77ae901318350fa.jpg
6598ed2a1e03b9f5801835b0bc3d5a7b.jpg

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Nguzo tatu za 33kV line zimeteketea kabisa kwa moto maeneo ya Nangurukuru km 2.5 Barabara ya kuelekea Njinjo. Moto huo uliowashwa na mtu/watu wasiojulikana unasababisha kukosekana kwa umeme maeneo ya Migeregere, Njinjo na Miguruwe hadi kazi ya kubadilisha nguzo itakapokamilika.
cf4e1a87416fce328304465d6867f412.jpg
4b19db85f4769f67ba1a49d93ea87f7a.jpg

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Waya wa line kubwa maeneo ya Boko Msikitini upo chini na kusababisha kuzimwa ili kutoa hatari na kuruhusu matengenezo katika line hiyo. maeneo yanayoathirika Bunju yote,Madale yote, baadhi ya maeneo ya Tegeta na baadhi ya maeneo ya Boko.

Wateja wote wanapata huduma kwa sasa

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
cf13455a9fac5b5542a23bfde53dd61c.jpg

naomba ufafanuzi hizo ni gharama za nguzo au kuunganisha pekeyake? mfano mimi nipo umbali wa mita kama 300 kutoka nguzo ya karibu na wiring nimefanya ...je naweza kufanyiwa gharama zangu jumla hadi kupata umeme? nipo dodoma vijijini...msaada tanesco tafadhari

Hizo ni gharama za kuunganishiea kwa umbali uliotajwa hapo juu,ukizidi mita 120 kutoka kwenye nguzo pia utafanyiwa makadirio na kuambiwa ulipie kiasi gani kupata huduma mpendwa mteja

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Habari za mihangaiko wakuu.

Tanesco kuna tatizo gani?? Huku Goba mpakani umeme umekatika muda mrefu toka mchana hadi sasa hivi bado tuko kwenye giza.

Fanyeni haraka tuweze kuwa katika mwanga, hili giza ni hatari sana aisee, yaani hadi kakimeo changu kana charge 4% tu kakizima ndio basi tena.

Please Tanesco, rejesheni umeme bana au mnasubiri kutajwa kwenye ripoti ya Makinikia na Almasi??
 
ATTENTION TANESCO KISARAWE
Transfoma ya Majohe njia panda ya Bwera inatoa sparks kwenye drop out fuse

mjinga hajijui
 
Tanesco huku Goba mpakani hakuna umeme toka mchana hadi sasa hivi, kulikoni?
 
Back
Top Bottom