Mwanza hakuna umeme tunahali mbayamtoa mada kwani wewe upo mkoa gani..... sisi wa uku mwanza mambo ni shwari
Huko mwanza kuna eneo linaitwa UKEREWE, kule upepo ukivuma tu vuuuu umeme haupo, mvua ikidondoka tu, twa..twa..twaaa..Umeme dwii!!mtoa mada kwani wewe upo mkoa gani..... sisi wa uku mwanza mambo ni shwari
We acha tu, Arusha Kijenge chini umekatika muda si mrefu😬Wanazengo kiukweli enzi za maghufuli mgao was umeme ilibaki ndoto. Maghufuli alikuwa mkali kwenye insue kama hizi. Sote ni mashahidi kipindi cha maghufuli hatukusuhudia mgao kama Sasa. Makamba Kuna insue anafanya. Kumbe maghufuli alimjua ndo maana alimuweka pembeni. Makamba out.
Usiwaamini CCMTuliolipia
mwezi wa nane tunafungiwa umeme lini? Bora tuambiwe ukweli tujiandae kisaikolojia au tuweke sola kuliko kusubiri bila kuwa na uhakika
Bado nangoja mkuu.Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi