kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Huduma ilikatika kwa hitilafu kwa mida mchache usiku lakinu tulifanikiwa kutatua tatizo sasa wateja wanafurahia huduma.Saa 6 usiku saa hizi mmekata tena umeme Kimara.Mchana tumeshinda bila umeme.mmerudisha jioni saa hizi usiku joto hili watu tumewasha feni tulale mnakata umeme tena.Sasa nyie mna faida gani hapa duniani,si mfe tu?mss!
Tumepokea taarifa za eneo husika kwa hatua zaidiTANESCO huu umeme mnaokata huku mbezi beach maeneo ya interchick kwakweli sasa imekuwa ni kero, hivi hamuwezi kuamua kutoa ratiba ya kueleweka watu tuelewe kabisa?
Imagine leo no siku ya mapumziko na Kuna mvua tunataka japo kukaa nyumbani mnakata umeme mapema namna hii nyie mpoje????
Na tozo mnachukua tukilipa umeme bado hamuoni hii kero mnayoyupatia???
Kuna siku itafika gari ya TANESCO ilionekana mtaani itachomwa moto ili tuelewe moja hakuna umeme Ila huu ushenzi tumechoka.
Too much
Mda mchache kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi?!wateja wanafurahia huduma?!hivi TANESCO unanionaje lakini,mbona u mchokozi hivi?!😡Huduma ilikatika kwa hitilafu kwa mida mchache usiku lakinu tulifanikiwa kutatua tatizo sasa wateja wanafurahia huduma.
Ndugu mpendwa Mteja wetuPole na majukumu.
Mi ni mteja wenu, nyumba yangu iko karagwe, kayanga. Nyumba yangu iko jirani Ofisi zenu. Kama miaka mitatu iliyopita mita ya TANESCO iliyokuwa imefungwa nyumbani kwangu iliibiwa. Nilipopata taarifa nikaripoti kwenu, lakini nikaripoti na polisi na kupewa R.B.
1. Nilitaka kujua mita hiyo haijafungwa kwa mteja mwingine?
2. Ni loni mtanifungia mita nyingine? Tangu nitoe ombi hilo la kufungiwa mita nyingine naona mnanipotezea tu, mnataka nilipe sh ngapi tena?.
3. Kwa hiyo mita inaweza kuwa inatumika kwa myeja mwingine?
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Abdallah HassanNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Ndugu mpendwa Mteja wetuNaishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15
Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.
Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi
Wewe utakuwa jirani yangu Ukonga, siku ya jana ilikuwa ovyo kabisa, zima waka zima waka, ovyooooo.Naishi Jimbo la Ukonga, siku ya leo (Juma Pili) umeme umekatika kutwa nzima umerudi muda wa saa mbili usiku na unakatika na kuwaka kila baada ya dk 15
Nawaza sana kununua jenereta la dizeli ama kweli mwenda zake alienda na Mengi.
Haya, ngoja nikachaji simu bar, nishushie na bia tatu Za kutafuta usingizi