greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Sisi wa usagara jana walikata mapema mno ukarudi saa 12 jioniChonde chonde Kwa wakazi wa mwanza mgao ndio umeanza RASMI muda huu..ktk wilaya ya ilemela mkoani mwanza..umeme ushakatwa na utarejea jioni. jianadaeni na mshumaq Huko wa nyamagana..
..Nawaskitikia wakazi wa geita sengerema na chato