TANESCO leo mmekata umeme Kimara mwisho kuanzia saa tano asubuhi hadi 12 jioni,shughuli za watu zimesimama maelfu ya watu wanaoishi na kuwekeza huku.Sababu ilikuwa nini?
What about kesho,keshokutwa na wiki nzima?
Tafadhali unaponijibu zingatia unaongea na waathirika wa matendo yako ambao wao na familia zao wanaishi hapa mjini sababu ya huu umeme.Maelfu kwa maelfu,"let it stick in your head",unaongea na watanzania ambao mkono wako kwenye hizo mashine unaweza kuwaumiza au kuwasapoti maisha yao na uchumi wao.
Kulikuwa na sababu ipi kukata umeme Kimara all the day long today?Vipi kesho na keshokutwa,tutakuwa na umeme?Please,naomba majibu.