5th Estate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 310
- 273
Mkuu umeme wa kukuunganisha unatoka wapi?,Subiri kwanza mgao uishe.Ndugu zangu kwanini kuomba kuunganishiwa umeme na Tanesco imekua kama hisani hasa kwa chanika ,wananchi wanaomba umeme tangu mwezi June hadi sasa hakuna chochote